Nimefunguwa duka jipya la biashara hapo Dar!

Nimefunguwa duka jipya la biashara hapo Dar!

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,107
Reaction score
34,929
kipanya_29_-_03_-_2012_20120330_1633982240.jpg
Ni kweli lakini unavyosema kipanya duh.. ya leo kali hiyo
 
imenikumbusha yule jamaa ambae wageni walikua wakija kwake kila siku wanashangaa kikopo cha tooth pick ambacho wanatumia kila siku wakila hakiishi..! baada ya kumuuliza mwenye nyumba kua hua ananunua kipya kila siku..!? jamaa akawaambia "kila mkimaliza kutumia mkiondoka hua ninarudisha kwenye kikopo humu ndani..!!" jamaa akajiskia kutapika..!
 
Umefanya la maana sana mkuu,kwtu cc used ndo zetu,wacha tuone labda Arumeru leo watamenya kutoka kwnye karatasi au cjui ndo wataendeleza used culiculum!
 
Mzizimkavu Miswaki used??????? Looooh

Utapata kweli wateja?????????

Sijui!!!!!!!!!!????
 
Kweli Kipanya ni noma
Mpaka serikali used
Ila na serikali nayo si ina sera ya kununua vitu used
 
Back
Top Bottom