Nimefumaniwa na mke wa mtu

kweli siku hizi ndoa hazina thamani, watu hawaogop kabisa kutembea na mke wa mtu, maana hasira za mwanaume aliefumania hazina kipimo!!
 
Ota ndoto zote lakini si ya kufumaniwa....Yangekupata usingekuwa na ubavu wa kujimwaga jamvini humu! Temea mate chini!
 
eti kwq mtindo huu ndio serikali igawe laptop kwa watoto wote wa sekondari.mbona tutakoma na hizi hadithi!
utumbo mtupu
 
mtoto kama alivyozaliwa....mara kavaa khanga..alizaliwa na khanga????
 
Hongera sana kwa kumla mke wa rafiki ako, na hongera kwa kukwepa kisu....
 
Ota ndoto zote lakini si ya kufumaniwa....Yangekupata usingekuwa na ubavu wa kujimwaga jamvini humu! Temea mate chini!

Mkuu umeongea kwa dhati nahisi ushawahi kumbana na kadhia hii.
 
Umeenda kwa ajili ya poaching, unafikia loge halafu unaongozana na game soldgers mmmhhhhhh halafu unajitangaza kwenye mtandao kuwa wewe ni poacher wewe ni k.i n.na au?
 

muwe mnasema kama ni ndoto au ni kweli 0714 ilisalimika kweli..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…