Nimefowardiwa E-mail hii, nadhani ni utani tu.


well said
 
Watanzania tuendeleze utamaduni wa kuvumiliana na kuheshimiana ili tuweze dumisha AMAN tulio nayo,otherwise kitawaka!

Maneno mazuri sana hayo Mkuu. Kundi linalopigia debe udini na kundi la watu wachache sana lakini kama hakuna hali ya tahadhari itakayochuliwa na vyombo husika ili kukomesha mambo ya udini basi kansa hii inaweza kutambaa kidogo kidogo nchini na hatimaye kulipuka na kutuacha tunalia kwa vilio vya kusaga na meno.
 

Post yako mkuu inatisha unaweza ukashindwa kulala na kuishia kuweweseka, kam ni kweli ulichoandika ipo hatari sana.

Madai ya waislamu kwamba wakristo wanapendelewa binafsi huwa siyaelewi hivi huwa wanapendelewa kwa vipi hasa? wanajamvi naomba mnijuze.
 
Waislamu walafi sana na wanakubali kirahisi kutumiwa na kikwete na ccm

Speak for yourself...:brushteeth: Waislamu na wakristo wanaolumbana ni wale waliogeuza dini kuwa mradi wa kuwapatia ulaji...... Tell them to stop whining and go do some work instead :A S-coffee:....... get a life...:A S-frusty:
 
Ukweli ni kwamba suala la udini lilianza kuzungumzwa na kushadadiwa na CCM wakati wa kampeni wakati halikuwa bayana kiasi hicho. Ona sasa limekuja tena kutoka upande uliokuwa unadhaniwa upo kimya...Huyu ni adui tuliyemualika wenyewe sasa anataka kutuangamiza,naishauri serikali iwe macho na kufuatilia suala hili kwa undani ili kulikomesha mara moja.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…