Nimeflush tecno p3 imekuwa slow sana niki browse

Nimeflush tecno p3 imekuwa slow sana niki browse

wasiliana na huduma kwa wateja wa mtandao unaotumia watakutumia settng mpya
 
Tecno ioapokuwa na matatizo kuna huduma kwa wateja mkabala na polis msimbazi.
 
Back
Top Bottom