CHAI CHUNGU JF-Expert Member Feb 20, 2012 7,113 930 Mar 4, 2012 #1 Habari wana JF,nimefiwa na mtoto jana Muhimbili hospital. Mazishi ni leo saa7 mchana,msiba upo banana ukonga!
Habari wana JF,nimefiwa na mtoto jana Muhimbili hospital. Mazishi ni leo saa7 mchana,msiba upo banana ukonga!
Chimemena JF-Expert Member Feb 25, 2011 1,376 452 Mar 4, 2012 #2 Pole sana kwa kufiwa na mtoto wako bwana spika. Mungu akufariji na akupe nguvu.
Jaslaws JF-Expert Member May 31, 2011 6,016 5,284 Mar 4, 2012 #4 Dah pole sana,mungu amlaze mahali pema peponi.amin.
GIUSEPE JF-Expert Member Mar 8, 2011 207 74 Mar 4, 2012 #6 Pole sana ndugu yangu,Mungu akupe faraja na nguvu.
CHAI CHUNGU JF-Expert Member Feb 20, 2012 7,113 930 Mar 4, 2012 Thread starter #8 kwa atakaye kua tayari kufika apige namba hii:0713 373132/0787 474142.
Kennedy JF-Expert Member Dec 28, 2011 49,046 54,336 Mar 4, 2012 #9 Bwana ametoa,Bwana ametwaa na Jina lake lihimidiwe.Ameni.
Mfarisayomtata JF-Expert Member Feb 2, 2012 474 188 Mar 4, 2012 #11 pole mkuu, innal lilah wa innal lilah rajuun.
Swts JF-Expert Member Feb 5, 2012 3,062 1,292 Mar 4, 2012 #12 Pole sana,wewe na family yako,ningekuwa Dar ningekuja msiban,pole mno,Mungu akufariji.amen..n
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Aug 17, 2011 37,444 25,591 Mar 4, 2012 #14 pole sana mkuu. Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Bwana libarikiwe amen! amen!
Mpita Njia JF-Expert Member Mar 3, 2008 6,997 1,163 Mar 4, 2012 #15 Pole sana Mkuu. Mungu akujalie nguvu ya kukabiliana na hali hii ngumu. naamini hapa sote tu pamoja nawe katika sala na maombi
Pole sana Mkuu. Mungu akujalie nguvu ya kukabiliana na hali hii ngumu. naamini hapa sote tu pamoja nawe katika sala na maombi
mshana org JF-Expert Member Jan 28, 2012 2,091 618 Mar 4, 2012 #16 spika said: Habari wana JF,nimefiwa na mtoto jana Muhimbili hospital. Mazishi ni leo saa7 mchana,msiba upo banana ukonga! Click to expand... Pole mkuu tumuombe mungu awape nguvu kwenye kipindi hiki kigumu cha msiba
spika said: Habari wana JF,nimefiwa na mtoto jana Muhimbili hospital. Mazishi ni leo saa7 mchana,msiba upo banana ukonga! Click to expand... Pole mkuu tumuombe mungu awape nguvu kwenye kipindi hiki kigumu cha msiba
Mtoboasiri JF-Expert Member Aug 6, 2009 5,101 1,949 Mar 4, 2012 #17 Pole sana ndugu yetu. Mungu wa Israel na akupe faraja zake!
A ATA Member Oct 12, 2011 84 22 Mar 4, 2012 #18 Pole sana mkuu, Mungu akupe nguvu na uvumilifu ktk kipindi hiki kigumu. Hakika sote ni wa Mungu na sote tutarejea kwake
Pole sana mkuu, Mungu akupe nguvu na uvumilifu ktk kipindi hiki kigumu. Hakika sote ni wa Mungu na sote tutarejea kwake
KOKUTONA JF-Expert Member Jan 29, 2011 8,649 6,088 Mar 4, 2012 #19 Pole sana. Mungu na akawe mfariji wenu ktk kipindi hiki kigumu cha msiba.
P Peter Nyanje Member Jan 15, 2012 43 18 Mar 4, 2012 #20 Ni majaribu ambayo Muumba anatupitisha waja wake. Pole sana Spika. naamini Mungu atakujalia nguvu za kukabiliana na majonzi haya makubwa nasi tutaendelea kukuombea
Ni majaribu ambayo Muumba anatupitisha waja wake. Pole sana Spika. naamini Mungu atakujalia nguvu za kukabiliana na majonzi haya makubwa nasi tutaendelea kukuombea