life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Pole sana ndugu, Tumuombe kwa pamoja Moula karim amrehemu na kumlaza pema. Amin
Ndugu wana Jamii Forum,
nimefiwa na kaka yangu tarehe 4/08/2014 siku ya Jumatatu, tulizika tarehe 6/08/2014 siku ya Jumatano Ifakara.
Kwa ajili ya majonzi makubwa nilishindwa kuwapa taarifa mapema, mpaka niliporudi kutoka msibani ndiyo nimeweza kuwajulisha.
BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.