Nimefiwa na kaka yangu

bahati mbaya

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2012
Posts
578
Reaction score
193
Ndugu wana Jamii Forum,
nimefiwa na kaka yangu tarehe 4/08/2014 siku ya Jumatatu, tulizika tarehe 6/08/2014 siku ya Jumatano Ifakara.

Kwa ajili ya majonzi makubwa nilishindwa kuwapa taarifa mapema, mpaka niliporudi kutoka msibani ndiyo nimeweza kuwajulisha.

BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.
 
Duh..pole sana ndugu...Mungu ailaze pema roho ya marehemu kaka yako...Amin.
 

pole sana, bwana ametoa na bwana ametwaa..jina lake lihimidiwe
 
Pole sana mkuu, ni kazi ya Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…