Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 6,602
- 9,159
Humjui Kansigo wewe. Fuatilia thread zake za nyuma ndio utajua hii hali ni serious mkuu.mbona ccm hatuna watu kama nyie??? au ww ni ccm sampuri gani??
Mimi mwenyewe na mashaka, nashangaa kwa huyu jamaa kujielewa na kujitoa maana ni nadra sana kutokeambona ccm hatuna watu kama nyie??? au ww ni ccm sampuri gani??
ukome kama ulivyokoma kunyonya tuliwaambia ccm ni zimwi la kunyonya damu za wananchi hamkusikia anagalia tunarudi miaka hamsini nyuma tuanze sasa kuukataa uongozi wa kibabe na kiimra kama huuNina sababu kadhaa kwanini naamua kujitoa CCM na kutoendelea kuisapoti serikali yake hii ya awamu ya tano.Nina sababu kadhaa i. ubabe na vitisho vya viongozi kuanzia ofisi kuu hadi watendaji wa chini, wote wamekuwa wababe na wanataka waabudiwe na kudujudiwa ii. ukandamizaji wa demokrasia na uhuru wa kutoa maono ( ref kesi ya Melo, Lema na Ben saanane). iii. kuvurugwa kwa elimu kunakoendelea mf. kuwanyima mikopo ya elimu ya juu watoto wa kimaskini iv. kusitisha ajira kwa maelfu ya vijana wa kimaskini tofauti na kipindi cha JK! na v. elements za udini na ukanda-ukabila Sitaki kuisikia tena CCM, nilikuwa mpiganaji mkubwa. wa ccm! ila yanayoendelea kwa sasa sina hamu tena
Muziki anaowapelekesha Magufuli hakika mtaomba pooooo. Hadi 2020 Ilani yote ya CCM itakuwa imetekelezwa. Tunaahidi na tunatendaWanajimaliza wenyewe, hii miaka minne iliyobaki kila mtanzania atatambua ccm ni janga.
watu waliodisco kama wewe na kupata ujiko wa ukuu lazima hutamuelewa yaani mtu low profile kama wewe ukapandishwa lazima usisimuke yaani wewe bila ccm huna unaloliweza yaani maana nyingine ni kaputiHata Kafulila wakati anahama CHADEMA mwaka 2009 alikuwa na tambo nyingi. Leo huyooo karejea. By the way who are you? Unaweza kunieleza ni mijadala gani umeanzisha humu kuisupport CCM?
Mkuu umezisoma za Kirumi ama za ki Aljentina ?Nina sababu kadhaa kwanini naamua kujitoa CCM na kutoendelea kuisapoti serikali yake hii ya awamu ya tano.Nina sababu kadhaa i. ubabe na vitisho vya viongozi kuanzia ofisi kuu hadi watendaji wa chini, wote wamekuwa wababe na wanataka waabudiwe na kudujudiwa ii. ukandamizaji wa demokrasia na uhuru wa kutoa maono ( ref kesi ya Melo, Lema na Ben saanane). iii. kuvurugwa kwa elimu kunakoendelea mf. kuwanyima mikopo ya elimu ya juu watoto wa kimaskini iv. kusitisha ajira kwa maelfu ya vijana wa kimaskini tofauti na kipindi cha JK! na v. elements za udini na ukanda-ukabila Sitaki kuisikia tena CCM, nilikuwa mpiganaji mkubwa. wa ccm! ila yanayoendelea kwa sasa sina hamu tena
tatizo ni kwamba hajaweza tekeleza hata romani moja ya ilani jamaa amepotea ile mbaya anaategemea GSM ndio wamuokoe kwa kumhonga makonda eti kujenga hospitili misikiti otherwise kodi zetu anazifuja tuu hajui aanzie wapiMuziki anaowapelekesha Magufuli hakika mtaomba pooooo. Hadi 2020 Ilani yote ya CCM itakuwa imetekelezwa. Tunaahidi na tunatenda
Inawezekana kabisa hamna watu wanaojitambuambona ccm hatuna watu kama nyie??? au ww ni ccm sampuri gani??
nimeamua kujitoa nikiwana akili timamuHumjui Kansigo wewe. Fuatilia thread zake za nyuma ndio utajua hii hali ni serious mkuu.
Nionavyo mimi, hakuna haja ya uchaguzi wa Urais 2020
Tafadhali, tafadhali, heshimu uhuru wa mwenzio wa kuamua.Wewe ni mmoja wa watu wa hovyo Sana. Akili yako inafanya kwa kasi chini kuliko nyumba.
Alisemaje?nimemsikiliza komredi sendeka kwenye taharifa ya habari itv usiku huu alivyokuwa anasema!
Nikasema Mungu Awape hekima hawa viongozi wetu maana hekima ni njema sana ikiwa ndani ya mtu hasa viongozi wetu kuliko kutumia miguvu.
Tutapita salama.ilo la kuzima mitandao.endelea kuota.2020 sijui itakuaje maana nadhan ya DRC yakuzima mitandao yanaweza kufanyika
Hivi kuna hata anaekujua?
Kingunge, Sumaye, Lowassa wote hawa wamejitoa ccm. Sasa ni nani mpaka uwe hasara kutoka kwako?
Kwani ugomvi?si mumuache na uamuzi wake.Uhuru was kujielezea huko wapiiii?Hata Kafulila wakati anahama CHADEMA mwaka 2009 alikuwa na tambo nyingi. Leo huyooo karejea. By the way who are you? Unaweza kunieleza ni mijadala gani umeanzisha humu kuisupport CCM?
Naam, ni ngumu sana kwa mwenye sense ya ubinaadamu kukubaliana na hali hii inayoendelea. Si Tanzania tuliyoikuta hii, ni kama DRC fulani hivi hivyo napongeza uamuzi wako. Mimi pia yamenishinda.nimeamua kujitoa nikiwana akili timamu