Hapo na "Kwa Mfuga Mbwa" wapi afadhali?
Aha!! kwa vile mleta mada umeileta ki-ligi tutakujibu hivyo tu kwa ligi, haya hii Tanzania yenu. Mitaa tofauti, Tandale, Temeke na kwingineko.
Nchi yenye amani, madini, ardhi kubwa yenye rotuba, vivutio bora vya utalii, n.k. halafu usisahau ni nchi mbili zilizounganishwa.
Naona hata kile kiingereza chako safari hii umekitupilia mbali, manaake ukweli unauma (mchungu).Mimi naona makazi duni ya Dar ni kama ya kifahari ukiyalinganisha na ya hapa kwetu, nyumba za udongo jijini sijaziona ingawa labda ziko.
Mimi naona makazi duni ya Dar ni kama ya kifahari ukiyalinganisha na ya hapa kwetu, nyumba za udongo jijini sijaziona ingawa labda ziko.
Ingawa tunaambiwa kuwa mji wetu ni mchafu lakini hivi kuna sehemu yoyote ile tz inayofanana na mathare?????????????
[TABLE="width: 95%"]
[TR]
[TD="class: txt18, align: center"]Tanzania-Dares Salaam-Manjo and her family
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 95%"]
[TR]
[TD="class: sj11"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 60%, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 95%"]
[TR]
[TD="class: p1"]
Manjo and her family live in a metal tin shed in Dares Salaam, the capital of Tanzania July 12, 2011. Due to high unemployment, many people lived hard lives in slums in the city.

[TABLE="width: 90%, align: center"]
[TR]
[TD="class: hong13, align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Leta picha za makazi sio mtu mmoja amejenga kibanda...Kifupi Dar hakuna Makazi ya Ovyo kama hayo...Khaa! Huo uchumi wenu mkubwa EA unawasaidia nini?
Vipi, leo umeishiwa katuni za Gado?giving you jobs fellow!!!!!
Vipi, leo umeishiwa katuni za Gado?
Suraya- Nairobi
Hii ni ya kipanya, za Gado ziko wapi leo?
These Tanzanian contributors...
Wakitoka kwenye hayo mabanda yao ya mabati wakivaa na makoti yao ya mitumba na vingereza vingi basi wanaona maisha wameyashinda ni kunywa chang'aa tu na kitheri.Acha ligi za kijinga wewe.....
Tofautisha uchafuz(wa mazingira) na umaskini....
Mleta mada ameeleza ni jinsi gani wananchi wa Mathare wanaishi katika maisha ya umaskini uliotopea ilhali nchi inajinasibu kuwa na uchuni wa juu katika EA....Watu wanaishi maisha duni mnooo.....Na kalidhihirisha hilo kwa picha...
Wewe unakuja na picha za mafuriko ya mvua...Mrundikano wa taataka (ambazo inawezekana zilitolewa mara tu baada ya wewe kupiga picha)....
Picha zako za Kariakoo zinaonesha ni jinsi gani Dar ilivyo ukilinganisha na Nai...
Kubali kataa....Kibera....Dandora...Mathare n.k ni ielelezo tosha kwamba uchumi wa Kenya umeshikwa na wachache na wananchi wengi wanaishi below poverty line....Katika umaskini uliotopea...
Ngoja nizirudie picha....Angalia na ulizoziweka wewe...
Aha!! kwa vile mleta mada umeileta ki-ligi tutakujibu hivyo tu kwa ligi, haya hii Tanzania yenu. Mitaa tofauti, Tandale, Temeke na kwingineko.
Nchi yenye amani, madini, ardhi kubwa yenye rotuba, vivutio bora vya utalii, n.k. halafu usisahau ni nchi mbili zilizounganishwa.
These Tanzanian contributors will resort to slum-porn every so often because they have little to nothing to show for all their peace. Kenya, just like South Africa, China, Brazil and other more prosperous countries have slums. That is old news.
Tanzanians, please show us the great and prosperous Tanzanian neighborhoods for a change.
The fact of the matter is that Tanzanians are uniformly poor. Nothing to show!