Maeneo mengi ya mitaa ya Kariakoo yamefurika marundo ya taka zisizolewa kwa muda kama inavyoonekana pichani hapa ni nje ya Soko la Kariakoo. Haikuweza kufahamika chanzo cha kutozolewa taka hizo kuwa huenda magari ya kuzoa taka hizo pia yameharibika kama ilivyo kwa barabara nyingi za jijini Dar ama vipi.
Hapa ni mzibua mitaro akijaribu kuzibua moja ya mtaro katika mtaa wa Living Stone huku pia kukiwa na rundo la taka eneo hilo.
Hapa ni mtaa wa Living Stone na Mchikichi.....
Hapa ni mtaa wa Sikukuu na Nyamwezi.....
Hapa ni mtaa ni mtaa Kongo...
Hapa ni mtaa wa Nyamwezi......
Hapa ni mtaa wa Msimbazi Stendi ya Mwananyamala, ambapo ndiyo gari la taka lilikutwa likianza kuzoa taka hizo.
Nakumbuka Wiki iliyo pita nili piga picha 'Dampo' la soko la Mji mdogo wa Mlowo;Nika libandika hapa ukutani kwetu...
Nili Andika kichwa kinacho someka "KWA YEYOTE ANAYE HUSIKA:MLOWO TUSIPO ANGALIA TUTA INGIA MWAKA MPYA NA UCHAFU WA ZAMANI"
[h=2]Dar es Salaam, Tanzania[/h]
A young man using pieces of wood as walking aids while crossing a current of rainwater, sewage and garbage in the district of Janguani during the flood event of April 12, 2014
The impact of floods is still a threat in the memories of most residents of Dar es Salaam
Nakumbuka Wiki iliyo pita nili piga picha 'Dampo' la soko la Mji mdogo wa Mlowo;Nika libandika hapa ukutani kwetu...
Nili Andika kichwa kinacho someka "KWA YEYOTE ANAYE HUSIKA:MLOWO TUSIPO ANGALIA TUTA INGIA MWAKA MPYA NA UCHAFU WA ZAMANI"
Acha ligi za kijinga wewe.....
Tofautisha uchafuz(wa mazingira) na umaskini....
Mleta mada ameeleza ni jinsi gani wananchi wa Mathare wanaishi katika maisha ya umaskini uliotopea ilhali nchi inajinasibu kuwa na uchuni wa juu katika EA....Watu wanaishi maisha duni mnooo.....Na kalidhihirisha hilo kwa picha...
Wewe unakuja na picha za mafuriko ya mvua...Mrundikano wa taataka (ambazo inawezekana zilitolewa mara tu baada ya wewe kupiga picha)....
Picha zako za Kariakoo zinaonesha ni jinsi gani Dar ilivyo ukilinganisha na Nai...
Kubali kataa....Kibera....Dandora...Mathare n.k ni ielelezo tosha kwamba uchumi wa Kenya umeshikwa na wachache na wananchi wengi wanaishi below poverty line....Katika umaskini uliotopea...
Ngoja nizirudie picha....Angalia na ulizoziweka wewe...
Nimefika Mathare Nairobi yaani niliyoyaona ni bora hata Kibera mara 100! Maisha yangu yote nilifikiri Slums nairobi ni Kibera tu kumbe kuna eneo lingine linaitwa Mathare, jaribu kutembelea hapo siku ukiwa Nairobi huwezi amini jinsi wanavyoishi, duh!
View attachment 217407View attachment 217408View attachment 217409View attachment 217410View attachment 217411
Aha!! kwa vile mleta mada umeileta ki-ligi tutakujibu hivyo tu kwa ligi, haya hii Tanzania yenu. Mitaa tofauti, Tandale, Temeke na kwingineko.
Nchi yenye amani, madini, ardhi kubwa yenye rotuba, vivutio bora vya utalii, n.k. halafu usisahau ni nchi mbili zilizounganishwa.
Ni kweli kabisa. Nimeangalia hiyo picha ya wapika chang'aa aisee inatisha. Ndio maana hawa jamaa huwaga wanapofuka macho baada ya kubugia hicho kilevi.Duuuh hata nguruwe hawaishi hivi
[h=2]Dar es Salaam, Tanzania[/h]
A young man using pieces of wood as walking aids while crossing a current of rainwater, sewage and garbage in the district of Janguani during the flood event of April 12, 2014
The impact of floods is still a threat in the memories of most residents of Dar es Salaam