Bree ven
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 375
- 367
Habari zenu wana jamii, poleni na majukumu.
Kuna kitu kinanitatiza ni bora mnisaidie mawazo niwe na amani. Binafsi nina kanuni zangu flani za maisha, na kuna baadhi ya mambo ambayo ni binafsi sana napenda yawe ni siri ya moyo.
Sasa kilichotokea ni kwamba nilijikuta nikimwambia mtu wangu mmoja wa karibu siri yangu ambayo hua sipendelei baadhi ya watu wajue. Nilipomueleza niliumia sana nikasema ni mistake imetokea nitajitahidi nizibe mdomo.
Sasa hii mara ya pili nimejikuta nikimuelezea mtu mwingine siri nyingine tena sio ile ya kwanza, nimeumia sana lakini ndo imeshatokea sasa sijui nifanyaje.
Maana ni mambo binafsi sana sipati picha akiamua kushea na watu wengine japo sio mabaya lakini ndo hivo sipendi yafahamike. Siri nimeshindwa kutunza sasa najihisi vibaya.
Kwa wanaojua njia zaidi ya kutunza siri nahitaji mawazo ili niweze kuwa mtunza siri mzuri..:embarrassed: