Nimefedheheka sana

michael western

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2014
Posts
544
Reaction score
259
Nimechezewa kiakili na feelings za mapenzi.
Miezi mitatu iliyopita nilitongoza id moja maarufu ya kike humu MMU na CHITCHAT,kila mtu akaonyesha interests zake kwa mwenzake,sifa alizonitajia nilizipenda.

1.Mnyenyekevu.
2.mvumilivu
3.mwenye heshima
4.mwenye future nzuri
5.kamaliza chuo.
kwa vile alikuwa anaongea polite alinivutia ILS
alikuwa anakwepa kunipa namba ya simu,ila kadiriki kusema ananipenda sana na kunitumia picha zake kadhaa (fake pics).

Nilidata kwa miezi tatu.,Jana kanifungukia kwamba anaona dhambi kunichezea akili na kufunguka kwamba yeye ni mwanaume alikuwa anacheza tu na akili yangu.

Nimefedheheka sana
 
michael western

Very weakened person . how can he do this? Common people please thamini hisia za watu wengine wanaoleta maada zao hapa. Ooh God. Pole sana kaka yangu. Msamehe na mshukuru mungu kwa yote. Pole sana, sana .
 
Last edited by a moderator:
Hivi unawezaje kutongoza ID unayojua ni fake???????? Unakuwa na uhakika gani kama ni He au She hadi unapata nguvu ya kutongoza???????
 
Hahahahaaah,,,,,,,,pole sana aisee.
 
masikin pole..... mtaje aaibike hum!
 
Hivi unawezaje kutongoza ID unayojua ni fake???????? Unakuwa na uhakika gani kama ni He au She hadi unapata nguvu ya kutongoza???????

Huu ujasiri wa ajabu sana kutongoza mtu hata humjui..
 
Bado huwezi thibitisha kuwa ni Me au Ke. Aweza kuwa Ke lakini kaona huna mashiko akaamua kukukatisha tamaa kuwa yeye ni Me.
 
masikin pole..... mtaje aaibike hum!

Sasa hapo kuna aibu gani?

Si ajabu hiyo ID inatumiwa na mwanamke kweli maana mleta mada hajaweka bayana kama alikutana na mhusika au lah!!

Hivyo bado mchezo wa kumchezea akili yake unaendelea na uwepo wa sredi hii ni kipimo kuwa bwana mdogo kashaingia mtego wa breini konkasheni...
 
Duh duh duh .... Sipat picha mwanaume una create ID ya kike na unatumia muda wako mwing kuifanya iwe popular . Ili nini sasa? Na haitosh unachezea watu akili,
Pole sana kaka ....


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

hahahahhaha!!! au wewe nini!! mana ulvyo chambua, nna wasi wasi hahhahahha
 
Bora ungejinyamazia tu maana maneno utakayoambiwa humu ndio utazidi kufedheheka
 

unapumuliwa nyuma mngese wewe
 
Hivi unawezaje kutongoza ID unayojua ni fake???????? Unakuwa na uhakika gani kama ni He au She hadi unapata nguvu ya kutongoza???????

Hiyoipo sana humu jf na wala sijambo geni, Hata mimi nishatongoza ingawa sijakutana na masahibu kama yalomkuta mleta uzi.
Pia kumbuka hisia humpelekea mtu kumtamani mwingine kadiridi anavyokua akimsoma, kitu ambacho hupelekea kuhamishia mawasiliano pm na mengine kuendelea huko pm.
 

Aiseeeeeh inaitaji ujasiri wa ajabu
 
We nawe shiida kweli, JF ndo pakutongozea? Hongera kwa hatua ulofikia...
 
ndio maana mambo ya kutongoza kwenye mitandao sijawahi na sitowahi kabisa
 
hahahahhaha!!! au wewe nini!! mana ulvyo chambua, nna wasi wasi hahhahahha

Namsaidia tu siku nyingine asiangukie pua...

JF bana hii bi mkubwa hivyo wasiwasi ondoa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…