achana nae huyu, life will tell nakuambia!!!!!
Hii dhambi itamsumbua miaka yake yote
Urafiki mambo ka kawaida, lakini yanayohusu pesa hakuna urafiki pengine husababisha kufarakana zaidi, wakati wanafamilia hufarakana sembuse rafiki?
achana nae huyu, life will tell nakuambia!!!!!
Hii dhambi itamsumbua miaka yake yote
Urafiki mambo ka kawaida, lakini yanayohusu pesa hakuna urafiki pengine husababisha kufarakana zaidi, wakati wanafamilia hufarakana sembuse rafiki?
Jambo ambalo mie huwaga hata siafikiani nalo ni kwanini eti mtu ufarakane na mkeo/mumeo kisa pesa?? ama dada/kaka kisa fedha hizi ambazo ukifa unaziacha??
sijawah kuona mie mahali ambapo pesa imekwenda dukan kumfanyia mtu manunuzi so long as itabdi mtu ndo aende kufanya hayo manunuzi basi mtu ni bora kuliko fedha.
Katu usifikiri upeo wa maono yako unalingana na kila mmoja wetu. Mtazamo wako ni wako ni mwingine ukimwelezea hayo ni sawa na kumpigia gitaa mbuzi aliyeko machungoni ataendelea kuhangaika huku na kule kutafuta nyasi za kujishibisha.
Mgano itokeapo wanandugu kushughulikia mirathi hutishiana kuuani, kuachana ukoo nk, hii ni shauri ya mali tu si kitu kingine. Ndio maana wenye upeo kama wako wanaamua kuwaachia wenyewe wahangaike nayo kwa maana hiyo mirathi pengine hata haitakuongezea cha pekee au kukupunguzia dhamani ya maisha yako.