incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,229
- 3,525
hili neno sexy hapo ulipolitumia sio mahala pakeWakuu naombeni msaada wa kufanya ili mchepuko usipate mimba nimefanya ile nimemaliza kumbe alikuw kwenye sku ya hatari afu alijisahau hapa geto hakukaliki kuna kilio hatari wakuu naomben msaada wa kufanya mimba isitunge
Yupo chuo kikuu ila ana Mme Me ni mchepuko tuAnalia nini sasa kwani hajui mimba inapatikanaje? Ni mtoto? Na kama ni mwanafunzi anza mazoezi ya kuishi jela.
Mkuu...katafute hii kitu faster
bei gani hii mkuu nataka nimpe baba chanja kavu kisha nimeze hiikatafute hii kitu faster
Aiseeeee.......Yupo chuo kikuu ila ana Mme Me ni mchepuko tu
mmmhKamuulize mamako mzazi anaweza kukupa jibu zuri zaidi.
Mkuu hii sio ya mauaji, hii ni kuahirisha uumbaji tu, huwa inafanya kazi ndani ya masaa 72 na hapo uumbaji bado haujawa dhahiri, ni muda ambao mbegu zinagombea mayai, sasa hii dawa inafanya mayai yote yanakuwa mayai viza.Mkuu...
Naona unashiriki kwenye mauaji mubashara....
Dah mkuu umenikumbusha mbali sana na hii kitu pale namanga inauzwa buku 15 tu ila England ina bei kubwa sana na kuinunua pharmacy yenyewe ni issuehata hii. Hakikisha anakunywa kabla muda haujaenda sana.