Nimefanya mapenzi na Mwanamke wa JF!

Status
Not open for further replies.
mmmh..ndoto yako imesababisha mtarimbo usimame na mwisho kulala ghafla
 
Pole NN...

Lakini... wakati unafanya mapenzi na demu wa Jeiefu, huyu Jeiefu mwenyewe alikuwa wapi??
 
Nilikuwa tayari nataka nikuandikie NN kwamba this is too low Mkuu ya nini kuja kumtangaza mdada wa watu hapa jukwaani? Kumbe ni ndoto tu hahahahahaha haya bwana na ndoto zako za JF. Have a great day.

YouTube - ‪1990-Klymaxx Good Love‬‎

Aisee Nyani Ngabu.......Erick Shigongo hana haja ya kuku-interview ....yaani akiiona tu hii post .....unapata position kubwa moja kwa moja Kwenye kampuni. tehe tehe tehe....
 
Aisee Nyani Ngabu.......Erick Shigongo hana haja ya kuku-interview ....yaani akiiona tu hii post .....unapata position kubwa moja kwa moja Kwenye kampuni. tehe tehe tehe....

Ebana eeh hata mimi nilikuwa nafikiri hivyo hivyo....let me holla at ma man....you never know..I may have a new gig
 
Naona ndio hizo ndoto za kimweri sijui,lakini ukimwi hukuuota hapo naona ndito yako si salama.
 
Naona ndio hizo ndoto za kimweri sijui,lakini ukimwi hukuuota hapo naona ndito yako si salama.

Sijui wewe ni mazee au mdada...sikiliza. Huyo mdada alikuwa gawjus..I mean she was hawt! On top of that she's smart....so it only made sense that I go in raw as sushi. What's the worst that could've happened...? Well, for one, if I had knocked her up I would have definitely been happy for I know the baby would have turned up to be as smart as her. If I would have caught a VD...then oh well....I would have just gone to the clinic and get it taken care of....If would have caught the bug....what can I say....ajali kazini...
 
Pole NN...

Lakini... wakati unafanya mapenzi na demu wa Jeiefu, huyu Jeiefu mwenyewe alikuwa wapi??

Oh! Nilikuwa kwenye maandalizi ya mfungo wa Ramadhani........Nilikuwa nabomoa majungu sehemu sehemu:smile-big:
 
haha nimekugopa!!!! wooww

but forget I dont think u worth my time ...

Like a give a rat's ass if u think 'bout me or not....but evidently u think enough of me to respond to my posts...bwahahahahaaaaa....u sooo stoooopid
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…