Nimefanya kazi Wiki nzima lkn bosi hataki kunilipa

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,619
21,363
Hawa mabosi wetu siku ya mwisho watakuwa kuni kwa kupenda kudhurumu
FB_IMG_1492167461510.jpg
 
MSAGA SUMU fanya ujanja ujanja wako huko huko ila sio penye magari au umeme wafwaaaa. Ufundi wenyewe huu sijui ulijifunzia jela!
 
anasubiria umalize nyumba yote na upauwe ili akupe mzigo wako wote ,
endelea mkuu kuchapa kazi kama ilani ya chama inavyosema
 
labda km kuna kaz nyingne, ila km n ya ujenzi wa hio nyumb, M nahc malipo ni cement yake ulioharibu
 
Back
Top Bottom