Nimefanikiwa kupata njia ya kumtambua mwanamke wa kuoa (wife material) hebu soma ujionee

Kumbuka unatafuta mke na sio mtoto....kwa hiyo hata kama mzazi wa huyo mke mtarajiwa hahitaji kumwagiwa sifa asifiwe tu!

Mambo ya kuonana ni zaidi ya kanuni na vigezo tunavyojiwekea. Nimeshuhudia watu wakisema hawataoa aina flani au hawataolewa na watu wa aina flani wakimaanisha kabila, umri, rangi, umbo, kazi n.k lakini mioyo iliposema ndio, mambo mengine yote yanakosa nafasi.
 
Hizi tafiti naomba baraza linalo husika nazo lizifungie zinatuchanganya na kutupotosha.
Kwa maana hiyo mkuu watoto wote walio telekezwa na baba zao sio wife material? Maana hawa ni vigumu kuwasifia baba zao.
hakuna mtoto anayetelekezwa na Baba yake ila Mama ndo anayejua hayo yote na kuweka uadui wa Baba na Mtoto
 
mawe mawe kwa hiyo waliofiwa na baba zao wakiwa wadogo, walitelekezwa na baba zao, wasiotambua baba zao wapigwe chini? jitambue kwanza
i mean yule amshushae Mzazi wake naye wakushushwa even the bible and quruan say
 
Ni rahisi sana kumtambua mwanamke wa kuoa (wife material).Kama katika mazungumzo yenu mpenzi wako anamsifia sana Baba yake basi huyo ndiye wife-material ila kama anamshusha chini Baba yake na kukuonesha kuwa si lolote wala si chochote huyo piga chini hapo hapo wala hastaili kuwa mke kabisaa
Sasa mkuu, naomba nikuulize swali,,, naomba uzungumzie kwa wanawake ambao wamelelewa na mama tu, ambapo baba mtu alikimbia hadi mtoto amekua mkubwa so hajui mwanawe amepitia mangap akiwa na mama yake unazungumziaje hapo
 
Kumbuka unatafuta mke na sio mtoto....kwa hiyo hata kama mzazi wa huyo mke mtarajiwa hahitaji kumwagiwa sifa asifiwe tu!

Mambo ya kuonana ni zaidi ya kanuni na vigezo tunavyojiwekea. Nimeshuhudia watu wakisema hawataoa aina flani au hawataolewa na watu wa aina flani wakimaanisha kabila, umri, rangi, umbo, kazi n.k lakini mioyo iliposema ndio, mambo mengine yote yanakosa nafasi.
utaishije na mtu mwenye chuki na mzazi wake haujui kuwa penzi lenu litakosa baraka
 
Ni rahisi sana kumtambua mwanamke wa kuoa (wife material).Kama katika mazungumzo yenu mpenzi wako anamsifia sana Baba yake basi huyo ndiye wife-material ila kama anamshusha chini Baba yake na kukuonesha kuwa si lolote wala si chochote huyo piga chini hapo hapo wala hastaili kuwa mke kabisaa
Na je kama.ni baba wa kambo, mana kiukweli hapo ina depend na mzazi huyo wa kiume the way anavom mtreat mtoto wake huyo wa kike
 
utaishije na mtu mwenye chuki na mzazi wake haujui kuwa penzi lenu litakosa baraka

Tofautisha chuki na kusema ukweli mkuu. Kama Baba anatimiza wajibu na majukum yake, binti yake hatamsema vibaya.
Nikukumbushe tu, binti kumsifia mzazi wake haimaanishi ni mke bora.
 
Sasa mkuu, naomba nikuulize swali,,, naomba uzungumzie kwa wanawake ambao wamelelewa na mama tu, ambapo baba mtu alikimbia hadi mtoto amekua mkubwa so hajui mwanawe amepitia mangap akiwa na mama yake unazungumziaje hapo
una ushahidi gani kama Baba alimkimbia mwanae hivi unajua wanawake wengi wana siri kubwa sana kwa watu waliozaa nao
 
Back
Top Bottom