Nimefanikiwa kuoa...

karibu rasmi kwenye ulimwengu wa kulala bila kyupi...
 
hongera sana mkuu
karibu sana kwenye kundi
Mungu awatangulie katika maisha yenu ya unyumba mkonowapaka
 
Last edited by a moderator:
Hongera kwako Mungu awalinde na vultures
 
Aisee hongera...inahitajii moyo aisee!!!
 
namshukuru Mungu sana.

baada ya pilikapilika za hapa na pale hatimae nilifanikiwa kufunga pingu za maisha wiki iliyopita namshukuru Mungu kwa hilo.
Umemkuta bikra?maana usije kua umeoa demu wa mtu!
 
sasa hongera ya nini? kwani inahitaji ujasiri gani kuoa? kawaida tu mbona...hongera zina wenyewe bwana sio waoaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…