N nyambogo JF-Expert Member Joined Oct 14, 2012 Posts 283 Reaction score 111 Jan 4, 2016 #41 SHIMBA YA BUYENZE said: Hivi kuna fomu zinazomtaka mtu ajaze kabila lake? Katika Tanzania hii ya sasa? Click to expand... Ndiyo. Ukienda polisi haya ni baadhi ya maswali 1. Jina lako ni.................. 2. Umri wako ni ............... 3. Kabila.............. Upo hapo?
SHIMBA YA BUYENZE said: Hivi kuna fomu zinazomtaka mtu ajaze kabila lake? Katika Tanzania hii ya sasa? Click to expand... Ndiyo. Ukienda polisi haya ni baadhi ya maswali 1. Jina lako ni.................. 2. Umri wako ni ............... 3. Kabila.............. Upo hapo?