Nimeenda kikao cha shule na gari yangu Subaru Forester, walimu wakanishangaa

Huwa naumia sana serikali haiwapi walimu hata nyenzo ya kuheshimika kwa jamii, hasa wakatii huu wa utandawazi.

Walimu ni hazina kwa Taifa, wabarikiwe mnoo.
Ninaamini msomi yeyote hawezi kuhadaa walimu. Pamoja na kuwa sie tumaishia darasa la nne, lakini mwalimu ni wa kuheshimu sana. Ubarikiwe
 
As for me naona waalimu Ndo the best career sababu wao ndo wanazalisha careers mbalimbali kama ningekua Rais ningehakikisha walimu wanalipwa the best salary
 
IMG_20240317_013301.JPG
 
Pamoja na kwamba ualimu ni kazi ya kibwege lakini wewe ndio mshamba namba 1,yan mjinga mno,huna akili takataka unanuka......
Kama uliona ni washamba kwanini usiwaambie hapohapo ili wakuvue chupi lako hilo..
 
Dada una mimba ya miezi mingapi? Mbona una hasira sana?
 
Back
Top Bottom