plerocercoid
Member
- Jun 8, 2018
- 46
- 14
- Thread starter
-
- #121
Karatas ni zakutoka nacte hazikuchapishwa upya ndio maana naliona hili jambo co la hapa ndio maana hata wale matokeo yao yamekua retained wamefuta tu na Marker..hahahahaaaaaaa sa we jamaa unatupotezea muda kumbe hata Uongozi haujautaarifu na upo eneo la tukio. yawezekana wamekosea uchapaji. anza nao ndo uje huku
Yaani maabara tena diploma unadisco,tena kama uko DIT ni bora wamekula kichwaWakuu mimi ni mwanafunz wa diploma mwaka wa pili kozi ya maabala. Kilichonifany niombe msaada kwenu ni kwamba inawezekana mtu akawa na gpa ya 2 na akadisco?
Nahitaj yeyote mwenye kufahamu juu ya hili anisaidie, npo dilemma!
Sawa..Yaani maabara tena diploma unadisco,tena kama uko DIT ni bora wamekula kichwa
Ada yake vp.. Miaka mingapsikiliza mkuu achana na hicho chuo, hamia chuo chengine au kasome aviation ule zako maisha. karibubi tu uwanja unafunguliwa kazi kibao,, mm nilidisco degree now nimegraduate flight operation officers/ flight dispatch. likuepukalo lina kheri na ww
Nmekuchek pm..mkuu ada milioni 2 laki 3, ni miezi 3 tu, terminal 1 chuo civil aviation training center, hutojutiaa
Unampoteza dogo ...sikiliza mkuu achana na hicho chuo, hamia chuo chengine au kasome aviation ule zako maisha. karibubi tu uwanja unafunguliwa kazi kibao,, mm nilidisco degree now nimegraduate flight operation officers/ flight dispatch. likuepukalo lina kheri na ww
Miez matatu...utapeli huumkuu ada milioni 2 laki 3, ni miezi 3 tu, terminal 1 chuo civil aviation training center, hutojutiaa
Kwa baridi ya haydom braza itakuwa umezidisha zile mambo...na wairaq wanavyopenda ukasahau ata kusoma
Anyways pole sana kudisco ni mpk uwe na GPA ya 2.0
Ndo ikogi hvy][/COLOR]
Omba upewe curriculum uisome vizuri.Wakuu mimi ni mwanafunz wa diploma mwaka wa pili kozi ya maabala. Kilichonifany niombe msaada kwenu ni kwamba inawezekana mtu akawa na gpa ya 2 na akadisco?
Nahitaj yeyote mwenye kufahamu juu ya hili anisaidie, npo dilemma!
Lakini si umeelewa???? mbona watz wengi especially wanaume wamechukua Tabia za like tu huo ni ukikeKwa mwandiko huo hata mimi ningekudiskisha
Jina la course yako tu huwezi kuliandika eti maabala GPA yenyewe unayoililia ni ya 2.0
Mungu akupe nini tena ushapata nafasi yako ukaichezea.
Ukike huoKama maabala ndo hiyo bora udisco
Jinsi ninavyofaham nikwamba mtu kudisco mpaka uwe na gpa chin ya 2 kwa mujibu wa Nacte.. Sijajua kama kuna sheria mpya ndomana nikauliza