Mkuu poleee sana ila sio mwisho bado hustling lazima ziendelee ila nipende kukutarifu sio kwako tu ni vyuo ving vina supplementary nying na dsco nying hapa tu nipo na rafiki yang wa chuo fulan kwao wamedisco 41

Wakuu mimi ni mwanafunz wa diploma mwaka wa pili kozi ya maabala. Kilichonifany niombe msaada kwenu ni kwamba inawezekana mtu akawa na gpa ya 2 na akadisco?
Nahitaj yeyote mwenye kufahamu juu ya hili anisaidie, npo dilemma!