Nimedhalilishwa mbele ya demu wangu.

Nimedhalilishwa mbele ya demu wangu.

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,966
Jana nikiwa natembea barabarani na demu wangu mitaa ya gomz, akapita mwanaume yupo kwenye gari lake kubwa aina ya v8 akasimamisha na kumsalimia demu wangu, hakuitikia, huku tunatembea na jamaa anaendesha gari lake taratibu jamaa akaanza kuomba namba ya simu pasipo kujua au kwa makusudi tu kuwa mimi ni jamaa yangu, kweli demu wangu ni chombo na nikitembeaga nacho macho ya wanaume hayakatiki. Naomba wanaume wenzangu tujaribu kuhurumiana, kweli mimi choka mbaya, maisha magumu bado tu wenye pesa hamtaki japo niwe na demu mkali wa kupunguza makali ya maisha? nyie mmepewa pesa na mimi nimeambulia demu mkali, acheni uroho wanaume wenye pesa.
 
Ha ha......pole mwaya.......siku nyingine jitahidi hata kuwa na bito angalau upunguze ashda.......
 
Hahahaaa,pole sana mkuu,nahc umeyasema haya kwa uchungu sana,pole sana,.
 
Jana nikiwa natembea barabarani na demu wangu mitaa ya gomz, akapita mwanaume yupo kwenye gari lake kubwa aina ya v8 akasimamisha na kumsalimia demu wangu, hakuitikia, huku tunatembea na jamaa anaendesha gari lake taratibu jamaa akaanza kuomba namba ya simu pasipo kujua au kwa makusudi tu kuwa mimi ni jamaa yangu, kweli demu wangu ni chombo na nikitembeaga nacho macho ya wanaume hayakatiki. Naomba wanaume wenzangu tujaribu kuhurumiana, kweli mimi choka mbaya, maisha magumu bado tu wenye pesa hamtaki japo niwe na demu mkali wa kupunguza makali ya maisha? nyie mmepewa pesa na mimi nimeambulia demu mkali, acheni uroho wanaume wenye pesa.
Du nimecheka sana ndugu yangu yaani demu mkali eti anapunguza ukali wa maisha, maybe kama unataka demu mkali akupunguzie ukali wa maisha ni kwa njia ambazo siyo sahihi kama vile kuliwa na mapeshee then anakuletea hela lakini kwa akili ya kawaida eti atakupunguzia maisha umebugi meeeeeeen
 
Na wewe mtafute mnyonge wako umtongozee demu wake,haipunguzi maumivu lakin inaongeza hadhi ya kiume
 
Wanaume wengine hata iaibu hawana, ndiyo maana inabidi tumiliki silaha ili watu kama hawa unawatoa macho tu.
 
Jana nikiwa natembea barabarani na demu wangu mitaa ya gomz, akapita mwanaume yupo kwenye gari lake kubwa aina ya v8 akasimamisha na kumsalimia demu wangu, hakuitikia, huku tunatembea na jamaa anaendesha gari lake taratibu jamaa akaanza kuomba namba ya simu pasipo kujua au kwa makusudi tu kuwa mimi ni jamaa yangu, kweli demu wangu ni chombo na nikitembeaga nacho macho ya wanaume hayakatiki. Naomba wanaume wenzangu tujaribu kuhurumiana, kweli mimi choka mbaya, maisha magumu bado tu wenye pesa hamtaki japo niwe na demu mkali wa kupunguza makali ya maisha? nyie mmepewa pesa na mimi nimeambulia demu mkali, acheni uroho wanaume wenye pesa.
Mbona hakuna udhalilishaji hapo zaidi ya jamaa kukuonea wivu tu! Tena anakuheshimu na kukuogopa kama ukoma, huyo kakujenga sana Mkuu
 
Wanaume wengine hata iaibu hawana, ndiyo maana inabidi tumiliki silaha ili watu kama hawa unawatoa macho tu.

upo sahihi kabisa, sijui ingekuwaje kama ningekuwa namiliki siraha, tungekuwa tunaongea mengine.
 
Jana nikiwa natembea barabarani na demu wangu mitaa ya gomz, akapita mwanaume yupo kwenye gari lake kubwa aina ya v8 akasimamisha na kumsalimia demu wangu, hakuitikia, huku tunatembea na jamaa anaendesha gari lake taratibu jamaa akaanza kuomba namba ya simu pasipo kujua au kwa makusudi tu kuwa mimi ni jamaa yangu, kweli demu wangu ni chombo na nikitembeaga nacho macho ya wanaume hayakatiki. Naomba wanaume wenzangu tujaribu kuhurumiana, kweli mimi choka mbaya, maisha magumu bado tu wenye pesa hamtaki japo niwe na demu mkali wa kupunguza makali ya maisha? nyie mmepewa pesa na mimi nimeambulia demu mkali, acheni uroho wanaume wenye pesa.[/QUOT
Unalia nn ss fanya kazi umtunze mkeo ukizubaa wanachukua ww! Mafiruni hayana hiyana haya!
Napita lkn hebu wekw picha basi tumwone.
 
Wakikumegea demu wako na wewe tafta mnyonge ummegee, haipunguzi maumivu inarudisha hadhi ya kiume - mwana FA
 
Jana nikiwa natembea barabarani na demu wangu mitaa ya gomz, akapita mwanaume yupo kwenye gari lake kubwa aina ya v8 akasimamisha na kumsalimia demu wangu, hakuitikia, huku tunatembea na jamaa anaendesha gari lake taratibu jamaa akaanza kuomba namba ya simu pasipo kujua au kwa makusudi tu kuwa mimi ni jamaa yangu, kweli demu wangu ni chombo na nikitembeaga nacho macho ya wanaume hayakatiki. Naomba wanaume wenzangu tujaribu kuhurumiana, kweli mimi choka mbaya, maisha magumu bado tu wenye pesa hamtaki japo niwe na demu mkali wa kupunguza makali ya maisha? nyie mmepewa pesa na mimi nimeambulia demu mkali, acheni uroho wanaume wenye pesa.[/QUOT
Unalia nn ss fanya kazi umtunze mkeo ukizubaa wanachukua ww! Mafiruni hayana hiyana haya!
Napita lkn hebu wekw picha basi tumwone.

nitafute hela gani, ya kula ninayo, au unataka niwe mwizi kisa mwanamke, hapo ndo mwisho wangu.
 
teh....pesa pesa....hii kitu inarun dunia....al the best mbelen
 
Kwani wewe mgeni na mashori? Siku hizi mapenzi bila mapeni ni ugonjwa wa moyo kaka.

hata nikitafuta hela kiasi gani bado kuna watu watanizidi tu, hapa mwanamke anatakiwa atulie, si kwamba sina kitu kabisa, mtaani kwetu na mimi nipo juu, ila nikitoka tu nje ya pale kwisha.
 
Back
Top Bottom