Nimedhalilika ...

Nimecheka mwenyewe mkuu. Hususani ulivyohitimisha hii stori ya kufedheheshwa!

Mkuu siku nyingine mtu akikuomba ushauri unaohusisha pande mbili, epuka kutoa ushauri wa kuhitimisha. Jitahidi kutoa ushauri wa kumpa yeye uchaguzi wa mwisho wa maamzi anayopaswa kuchukua!
 
Ukome umbeya
 
Sasa wazee/wanaume huwa hatushauri kuvunja ndoa.

Siku nyingine msikilize, kisha muulize moyo wake unamwambia nini? Mwambie avumilie au afuate moyo wake.
 
Mnashauriwa kila siku mpunguze kiherehere au kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu hamuelewi.
 
Ukome na uache,,,,, !!!! Ishu ya mapenzi haihitaji ushauri,,,, ww hujui huko ndani wanapeanaje , unashangaa simu moja tu nimekumiss mwanamke keshaloa, kasahau kama waligombana
 
Duuh pole,Kumbuka usemi wa wahenga, mambo ya Ngoswe,mwachie Ngoswe mwenyewe!
 
Vituko, kuna mtu kamfumania mke wa mtu akichakatwa mubashara. Akaenda kusema kwa mume wake kuwa mke amechepuka. Mwenye mke akamuambia mke wake nimeletewa unaa kuwa umechepuka, mke akakanusha. Jamaa mwenye mke akamuambia mke wake kuwa aliyemletea habari ni mchonganishi anayetaka kuvuruga ndoa ya watu, mke akamuunga mkono. Habari zikamfikia jamaa mtoa habari kuwa amesutwa na hao wanandoa. Mtoa habari alijisikia vibaya sana licha ya kuusema ukweli kwa mwanamke mchepukaji
 
Unafkisim
 
Kazidi unafki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…