Forecaster
Senior Member
- Nov 22, 2013
- 192
- 98
Mkuu, tumia Testdisk kurudisha data zako. Search Google kwa maelezo zaidi!
Hivi ukifanya system restore (yaani let's say, unarudisha system yako to an immediate restore point ambayo ilikuwa created kabla hujafisha recycle bin), files za kwenye recycle bin huwa haziwezi kuwa recovered?Wataalamu wa jukwaa hili , naomba msaada wenu kuweza kurudisha fail ambalo nimeledelete katika recycle bin
Nahitaji fail hili lakini nimejikuta nimelidelete likiwa tayari lipo katika recylcle bini bila kujitambua
Natanguliza shukrani
Hivi ukifanya system restore (yaani let's say, unarudisha system yako to an immediate restore point ambayo ilikuwa created kabla hujafisha recycle bin), files za kwenye recycle bin huwa haziwezi kuwa recovered?
download file recovery then install itakupa maelezo ya kufanya ....then zitarudi zote
Wataalamu wa jukwaa hili , naomba msaada wenu kuweza kurudisha fail ambalo nimeledelete katika recycle bin
Nahitaji fail hili lakini nimejikuta nimelidelete likiwa tayari lipo katika recylcle bini bila kujitambua
Natanguliza shukrani
HDD inaweza ikawa overwritten mara kadhaa lakini bado data zinaweza kuwa recovered. Hata iko possible kurudisha files zako baada ya ku-format na kuinstall OS nyingine.Unapofuta file haliondoki moja kwa moja, kwa sababu zile sectors zilizokuwa occupied na lile file hazibadilishwi ila mfumo wa upangaji mafaili ie filesystem unaiambia system kuwa sectors husika ziko free kuwekwa data. Lakini ikitokea faili mfano picha imefutwa, na sectors zikawa overwritten mfano picha nyingine zikawekwa, hutoweza kurecover hiyo picha uliyofuta.
Kwa case yako wewe ni mchezo wa bahati kwa sababu huwezi kujua kama system haijaweka data nyingine kwenye hizo sectors.
HDD inaweza ikawa overwritten mara kadhaa lakini bado data zinaweza kuwa recovered.
Hata iko possible kurudisha files zako baada ya ku-format na kuinstall OS nyingine.
Never say No way kwenye mambo ya IT, unachopashwa kujua ni kwamba Data kwenye HDD haziandikwi kama kwenye kalamu na kalatasi. Fanya homework kidogo kuhusu data recovery, na kwa nini taasisi kubwa zina shread hdd zao badala ya kuziformat.No way mkuu! Overwritting gani unayoiongelea? Nipe logical explanation towards it.
Baada ya kuformat, unaweza kurudisha kila kitu. Lakini ukishainstall OS nyingine hutoweza recover everything, ni vile tu ambavyo data sectors zake zimebaki intact.