Nimedelete File ktk recycle bin naweza kuyarudisha

Forecaster

Senior Member
Nov 22, 2013
186
75
Wataalamu wa jukwaa hili , naomba msaada wenu kuweza kurudisha fail ambalo nimeledelete katika recycle bin
Nahitaji fail hili lakini nimejikuta nimelidelete likiwa tayari lipo katika recylcle bini bila kujitambua
Natanguliza shukrani
 
Mkuu, tumia Testdisk kurudisha data zako. Search Google kwa maelezo zaidi!
 
Wataalamu wa jukwaa hili , naomba msaada wenu kuweza kurudisha fail ambalo nimeledelete katika recycle bin
Nahitaji fail hili lakini nimejikuta nimelidelete likiwa tayari lipo katika recylcle bini bila kujitambua
Natanguliza shukrani
Hivi ukifanya system restore (yaani let's say, unarudisha system yako to an immediate restore point ambayo ilikuwa created kabla hujafisha recycle bin), files za kwenye recycle bin huwa haziwezi kuwa recovered?
 
i Will try the option, but nilishafanya hivyo 2 month back but inakupa msg files Will not ne delleted or distorted
 
download file recovery then install itakupa maelezo ya kufanya ....then zitarudi zote
 
Tumia software inaitwa recuva ni moja ya software bora kabisa kurudisha ma file yaliyofutika
 
System restore only deals with settings and programs. Mafaili hayarudishwi.
 
Wataalamu wa jukwaa hili , naomba msaada wenu kuweza kurudisha fail ambalo nimeledelete katika recycle bin
Nahitaji fail hili lakini nimejikuta nimelidelete likiwa tayari lipo katika recylcle bini bila kujitambua
Natanguliza shukrani

Unapofuta file haliondoki moja kwa moja, kwa sababu zile sectors zilizokuwa occupied na lile file hazibadilishwi ila mfumo wa upangaji mafaili ie filesystem unaiambia system kuwa sectors husika ziko free kuwekwa data. Lakini ikitokea faili mfano picha imefutwa, na sectors zikawa overwritten mfano picha nyingine zikawekwa, hutoweza kurecover hiyo picha uliyofuta.

Kwa case yako wewe ni mchezo wa bahati kwa sababu huwezi kujua kama system haijaweka data nyingine kwenye hizo sectors.
 
HDD inaweza ikawa overwritten mara kadhaa lakini bado data zinaweza kuwa recovered. Hata iko possible kurudisha files zako baada ya ku-format na kuinstall OS nyingine.
 
HDD inaweza ikawa overwritten mara kadhaa lakini bado data zinaweza kuwa recovered.

No way mkuu! Overwritting gani unayoiongelea? Nipe logical explanation towards it.

Hata iko possible kurudisha files zako baada ya ku-format na kuinstall OS nyingine.

Baada ya kuformat, unaweza kurudisha kila kitu. Lakini ukishainstall OS nyingine hutoweza recover everything, ni vile tu ambavyo data sectors zake zimebaki intact.
 
No way mkuu! Overwritting gani unayoiongelea? Nipe logical explanation towards it.

Baada ya kuformat, unaweza kurudisha kila kitu. Lakini ukishainstall OS nyingine hutoweza recover everything, ni vile tu ambavyo data sectors zake zimebaki intact.
Never say No way kwenye mambo ya IT, unachopashwa kujua ni kwamba Data kwenye HDD haziandikwi kama kwenye kalamu na kalatasi. Fanya homework kidogo kuhusu data recovery, na kwa nini taasisi kubwa zina shread hdd zao badala ya kuziformat.
 
Kwa tahadhari ili uweze kurudisha mafaili yako tena siku nyingine,,,,hilo faili haliwezi kurudi kama hukua na software yoyote ya kurestore permanent deleted files,,,,,
software that can help you recover your file, the name of the software is "kissass Undelete" and I'll suggest you download it at SourceForge.net: Invalid Project /kickassundelete and keep in your system or install it as soon as you finish your download. TO RECOVER YOUR PERMANENTLY DELETED FILE(s) using Kickass Undelete, follow the steps below:
1. Install the kickass software after download
2. Launch the software open
3. Select the drive from which the file was deletedfrom the left panel of the windowsand click the scan button. The scan can take as long as 10 seconds or more.
4. When the file search has been completed, the search results will be displayed with the name, type, size and the last modified date of the searched file.
5. You can now select the file to be recovered. Note that the kickass undelete software is an open source application and is available for all windows operating system. (Windows XP, vista and windows 7) Now, you can recover your permanently deleted files
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom