nastic boy
Senior Member
- Oct 9, 2014
- 190
- 17
Wadau nlikuwa na girlfriend wangu but akawa anazingua xa one day nkiwa nae out akanitambulisha rafik ake...slowly huyo rafk ake akazimika nkampa mautamu!! After that point kukawa na rafk ake tena naye akajilengesha nkapiga.... Problem sasa yule girlfriend wangu tulizinguana now tumepatana ila nawaza wakijuana itakuwaje... Nmechunguza wote ni marafiki ila hawajajua mchezo.....
Hata wakijua hawana neno........wewe piga........
huyu naye ni senior humu lakini coment zake pasua kichwa
Hata wakijua hawana neno........wewe piga........
Hebu tuambie hii habari yako inasaidia nini jamii au ina manufaa gani kwa taifa. Naomba kwenye maelezo yako utuambie na kiwango chako cha elimu