Nimedate na mademu watatu

Nimedate na mademu watatu

nastic boy

Senior Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
190
Reaction score
17
Wadau nlikuwa na girlfriend wangu but akawa ananisumbua sasa one day nikiwa nae out akanitambulisha rafiki yake,slowly huyo rafiki yake akazimika nikampa mautamu.

After that point kukawa na rafiki yake tena naye akajilengesha nikapiga.Problem sasa yule girlfriend wangu tuliachana now tumepatana ila nawaza wakijuana itakuwaje. Nimechunguza wote ni marafiki ila hawajajua mchezo.
 
Hata wakijua hawana neno........wewe piga........
 
Itafika wakati utaona haya yote unayofanya leo ulikuwa ulimbukeni tu.
 
Acha sifa za kijinga UKIMWI utakuua.
 
Wanajua sana nao wana vikao vyao vya kukucheka kwa kukuunganisha na kitu ya Kidatu na Mtera ngoja uwake utaelewa tu.
 
Preta

Napendaga ushauri wako kwenye mada za hivi.
 
Last edited by a moderator:
nastic boy

Hebu tuambie hii habari yako inasaidia nini jamii au ina manufaa gani kwa taifa. Naomba kwenye maelezo yako utuambie na kiwango chako cha elimu
 
Last edited by a moderator:
Wadau nlikuwa na girlfriend wangu but akawa anazingua xa one day nkiwa nae out akanitambulisha rafik ake...slowly huyo rafk ake akazimika nkampa mautamu!! After that point kukawa na rafk ake tena naye akajilengesha nkapiga.... Problem sasa yule girlfriend wangu tulizinguana now tumepatana ila nawaza wakijuana itakuwaje... Nmechunguza wote ni marafiki ila hawajajua mchezo.....

Dogo nimekuheshimu sana. Sikutakiwa kujibu thread yako. Nasema hivi! Haya mambo peleka kwa Mark Zukerburg wa FB mkafanye discussions huko .
 
nimependa choice ya maneno.....rafiki wa kwanza akampa mautamu, wa pili akapiga....ha ha ha haaaaaa!
Life goes on wakijua...itajulikana hapo utawapa wote mautamu au utapiga.....useless!
 
Wasiliana na Mfalme Mswati akupatie ujanja au kama vipi "mbeep" Mzee Zuma.
 
Hebu tuambie hii habari yako inasaidia nini jamii au ina manufaa gani kwa taifa. Naomba kwenye maelezo yako utuambie na kiwango chako cha elimu

Inasaidia kama una bf au gf akiwa mznguaji we kamata rafiki ake wa karibu mmege/megwa nae
 
Back
Top Bottom