Kumbe mchumba mwenyewe ni wamiaka mitano!!! nawewe ni wamiaka mingapi?
hahahahahha! sikuwez khaaa!Na ww fungua account kwenye headbook umfiche
nimekuta amebadili jina lake kidogo.lakn ndio yeye.
uongo kwenye love ni mbaya sana.sasa hap' najiuliza ananidanganya vngp?.u
mchumba wangu wa miaka mitano amenidanganya hayupo facebook.
nimekuja kugundua anayo account miezi 6 iliyopita.
nashndwa kumuelewa ana maana gani kunificha?!
mchumba wangu wa miaka mitano amenidanganya hayupo facebook.
nimekuja kugundua anayo account miezi 6 iliyopita.
nashndwa kumuelewa ana maana gani kunificha?!
Na ww fungua account kwenye headbook umfiche
Sasa usiwaze mbona fb kitu cha kawaida tu.. Tatizo Nini kama vp na wewe kafungue twitter...
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums