Nimedanganya jinsia yangu

Wenzako walianzaga kama we hivyo mwishowe wakanogewa na kuzoea kabisa.

Utagongwa mkuu,acha kabisa
 
Mkuu hujaona hata aibu kupost hii mada? Unataka ushauri gani hapo sasa?
 

Kwanin uziweke mashakan sehemu zako za haja kubwa?
 
Unapata wapi ujasiri wa kuiguza halafu bila haya unaomba ushauri? Wewe ni shoga wala hakuna ubishi. Kawaonbe ushauri mashoga wenzio.
 

Nauli umeshapewa! we mfuate tu lakini uandae kabisa ile jelly ya KY!!!!!
 
Ukweli pamoja na kwamba mtoa mada kadanganya, mii namuona huyo aliyedanganywa na akadanganyika ndo boya kabisa. Hizo ndo heza za ESCROW, ni halali uzile alafu jitoe kwenye hilo group. Haiji akilini hela ulizosotea kwa jasho lako unaona picha tuu unatuma hela hata hujaongea naye. Hizo hela za dezo.

Mimi kuna kipindi nilikuwa na room mate wangu tunasoma chuo fulani. Siku moja kaja room anajisifia kuwa kuna mtandao fulani kwenye internet jamaa kapata demu, basi akanieleza kila kitu. Kesho yake nikajisajili kwa jina la kike, nikaweka details zangu. Jamaa kaja ananiomba friendship nikamruhusu, nikamwambia mi nasoma chuo mwaka wa kwanza,. Akaniomba nijieleze shape yangu urefu na vitu vingine basi nikamuwekea sifa nzuuuuuri kama alivyo Lulu Michael.

Acha bwana jamaa usiku karudi anafurahi kama vile drogba kafunga goli kwenye fainali ya Champions League, akanisimulia kapata demu mwingine mzuriiiii. Nami nikajiunga kumsifia. Nikaendelea kuchat naye kama wiki hivi. Basi anajisifia, akanipa details zote. Kiukweli nilikuja kumdharau sana. Siku moja nikatibuana naye nikampa live kuwa alikuwa anachat na mimi. Daaah from that day urafiki wetu ukaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…