Jaman! Una kidole kizuri, hujambo?
Na mimi nimeweka lowasaaa...
Cc Root
nishamaliza kuwalipia wanangu ada, kuwaletea ndugu zangu maisha bora sasa nalinda kura yangu
Kidole hiki kinaweza kuwa cha kamanda wa kiune kweli?
Me bado
Kuna jamaa jana alianzisha mada ya kupenda vidole.....kwa hali hii atakuwa alikuwa ananisemea