Ukithubutu kwenda huko kwao basi kurudi ni bahati.Hbr wadau,
Nimeamua kuleta uzi huu humu natarajia kuchukua kuanza likizo 31 january, bila kumshirikisha mke wangu, maana yeye amekuwa akining'ang'aniza niende kwao kigoma kwani ni mwaka wa 2.5 huu toka nimeoa sijawahi kwenda kwao. Sasa ishu iko hivi mimi kipindi cha likizo ndo napiga pesa ndefu, kuna kazi huwa naifanya ndani ya 28days private institution napiga mkwanja mrefu. Sasa nikienda huko kwao .. huo mkwanja naukosa. Nikimwambie tuenda tukae for 2days (yaani nikijiiba govt job ijumaa -sunday tunageuka yeye hataki anataka at least 2weeks. Nishauri wenzangu wenye matatizo kama haya mnasolve vipi? Afu mimi wala simkazanii twende kwetu.
Ha ha ha nimemuoa mkuu,Ukithubutu kwenda huko kwao basi kurudi ni bahati.
Sina mchepuko kaka,UTAKUWA NA LAKO JAMBO WEWE.AIDHA UNA MCHEPUKO UNATAKA UKAJIFICHE HUKO AU UNA ROHO YA KWANINI HUTAKI KWENDA UKWENI
Hbr wadau,
Nimeamua kuleta uzi huu humu natarajia kuchukua kuanza likizo 31 january, bila kumshirikisha mke wangu, maana yeye amekuwa akining'ang'aniza niende kwao kigoma kwani ni mwaka wa 2.5 huu toka nimeoa sijawahi kwenda kwao. Sasa ishu iko hivi mimi kipindi cha likizo ndo napiga pesa ndefu, kuna kazi huwa naifanya ndani ya 28days private institution napiga mkwanja mrefu. Sasa nikienda huko kwao .. huo mkwanja naukosa. Nikimwambie tuenda tukae for 2days (yaani nikijiiba govt job ijumaa -sunday tunageuka yeye hataki anataka at least 2weeks. Nishauri wenzangu wenye matatizo kama haya mnasolve vipi? Afu mimi wala simkazanii twende kwetu.
hahhahhahahahahhahahaUkae Kigoma two weeks? Utaboreka esp kama unatoka kwenye jiji kubwa kama Dar. Cha kufanya, yeye mtangulize na treni mpaka aje afike Kigoma, two to three days zimekatikia njiani. Then wewe baada ya wiki, book ndege ya Ijumaa usepe then Jumapili unageuza au unageuza J3 na ndege ya asubuhi, wakati huo yeye ushampakiza kwenye treni 😀 where she will spend onother two to three days.
Habari wadau,
Nimeamua kuleta uzi huu humu natarajia kuchukua kuanza likizo 31 January, bila kumshirikisha mke wangu, maana yeye amekuwa akining'ang'aniza niende kwao kigoma kwani ni mwaka wa 2.5 huu toka nimeoa sijawahi kwenda kwao.
Sasa ishu iko hivi mimi kipindi cha likizo ndo napiga pesa ndefu, kuna kazi huwa naifanya ndani ya 28days private institution napiga mkwanja mrefu. Sasa nikienda huko kwao huo mkwanja naukosa.
Nikimwambie tuenda tukae for 2days (yaani nikijiiba govt job ijumaa - Sunday tunageuka yeye hataki anataka at least 2weeks.
Nishauri wenzangu wenye matatizo kama haya mnasolve vipi? Afu mimi wala simkazanii twende kwetu.
Umezungumza ukweli. Pesa ikiadimika hapo nyumbani ndo utamjua vizur mkeo atamtukana mpaka mama yako mzaziMkwanja ndiyo unafanya yupo na ww mpk sasa. Sasa ww acha kutafuta Mkwanja ukakae kigoma ndiyo utajua mwanamke siyo ndugu yako
Habari wadau,
Nimeamua kuleta uzi huu humu natarajia kuchukua kuanza likizo 31 January, bila kumshirikisha mke wangu, maana yeye amekuwa akining'ang'aniza niende kwao kigoma kwani ni mwaka wa 2.5 huu toka nimeoa sijawahi kwenda kwao.
Sasa ishu iko hivi mimi kipindi cha likizo ndo napiga pesa ndefu, kuna kazi huwa naifanya ndani ya 28days private institution napiga mkwanja mrefu. Sasa nikienda huko kwao huo mkwanja naukosa.
Nikimwambie tuenda tukae for 2days (yaani nikijiiba govt job ijumaa - Sunday tunageuka yeye hataki anataka at least 2weeks.
Nishauri wenzangu wenye matatizo kama haya mnasolve vipi? Afu mimi wala simkazanii twende kwetu.
Najua. Nimekwambia kwa kuwa nina uzoefu....Ha ha ha nimemuoa mkuu,
Ukithubutu kwenda huko kwao basi kurudi ni bahati.
Uende kigoma Friday then Sunday urudi?? Unatumia ungo au? Maana siku hizi Hakuna route za ndege as huko labda charters.Habari wadau,