Kuli Msomi
Senior Member
- Nov 17, 2016
- 184
- 457
Wakuu Tanesco ni shida sana, kuna muda leo niliwasha TV mapema mida ya saa nne saa 3 hivi nikaweka upande wa redio wakati nikiwa najiandaa kutoka kwenda mihangaikoni ghafla umeme ukakatika kama sekunde 10 ukakatika tena kisha kama sec 10 tena ukarudi.
Sasa baada ya hapo TV yangu ikawa haioneshi tena ila inatoa sauti tu. Nimekereka sana, wakaamua kukata mazima nimerudi sahivi umeme wanakata dk 10 wanazima wanawasha wanazima hii inatokea Maeneo ya Kinyerezi Bonyokwa huku hawa jamaa bwana Kero sana aisee.