uaminifu tuliojenga ndo umenifanya nisiangalie wengine....na isitoshe dada ake ndo nishaonana nae ila yeye muhisika ndo sijamuonaKwani hiyo miaka mi3 bila kuonana naye ina mana alikua ndio yuko peke yake?yani hukuwa na wako unayemuonaga?
Teh!naomba uje umwambie ulikuwa unatania hapaHahahahahaaaa LOL
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwan si mshatumiana picha umchore nin tenaNahisi hivyo...kaona too smart kaogopa...
Ila namimi nilijibana mahala ambapo hawezi kuniona ili namm nimchore kwanza..sidhani kama aliniona
Hongera kwa uaminifuuaminifu tuliojenga ndo umenifanya nisiangalie wengine....na isitoshe dada ake ndo nishaonana nae ila yeye muhisika ndo sijamuona
Webulinichomesha mahindi, sitakaa nikusahau...Teh!naomba uje umwambie ulikuwa unatania hapa
Sky kama ukipita katika hii thread jua huyu babu anatania LOL!Webulinichomesha mahindi, sitakaa nikusahau...
Huyu hapa...Sky kama ukipita katika hii thread jua huyu babu anatania LOL!
Si ndo maana nimekuchagua na wewe?She's cute
Unajua kuchagua 😛
Nishampata watano humu wananitoshaSi ndo maana nimekuchagua na wewe?
Mi sina haraka... ntasubiri hata miaka miaNishampata watano humu wananitosha
Ngoja nikiachwa na mmoja nitakuchagua