Nimechoka

Nimechoka

Reyna

Senior Member
Joined
May 19, 2013
Posts
122
Reaction score
28
Habari zenu: Tangu niolewe huu ni mwaka wa tatu lakini kuna kitu kinanitatiza huyu mwanaume mara nyingi huwa anapigiwa simu na namba mpya tofauti tofauti nikijaribu kuzipiga wanapokea wadada ukimuuliza anakwambia alikosea namba je hiyo namba yake huwa inakosewa na wadada tuu? Kingine wadada wa ofisini kwao kila siku usiku wanamtakia usiku mwema mara awaalike kwenye mitoko huwa tunaenda nae lakini nahisi huwa wananisanifu kwa nini awe na urafiki na wadada tuu?
 
^^
Simu zetu ni kisu kinachoweza kukuua wakati wowote.
Kama huna kifua cha uvumilivu,usikichezee utakufa kwa presha.
^^
 
Habari zenu: Tangu niolewe huu ni mwaka wa tatu lakini kuna kitu kinanitatiza huyu mwanaume mara nyingi huwa anapigiwa simu na namba mpya tofauti tofauti nikijaribu kuzipiga wanapokea wadada ukimuuliza anakwambia alikosea namba je hiyo namba yake huwa inakosewa na wadada tuu? Kingine wadada wa ofisini kwao kila siku usiku wanamtakia usiku mwema mara awaalike kwenye mitoko huwa tunaenda nae lakini nahisi huwa wananisanifu kwa nini awe na urafiki na wadada tuu?

Hayatuhusu. Haya ni mambo yenu binafsi wewe na huyo mumeo. JF sio mahala pa kuleta mambo yenu!! Peleka kwa wakwe. Ukiona anaendelea, mtose, tafuta bwana mwingine!!
 
Wewe huwa hupigiwi simu na wanaume?

Wewe na mumeo mna utaratibu wa kupokeleana simu?
 
Hayatuhusu. Haya ni mambo yenu binafsi wewe na huyo mumeo. JF sio mahala pa kuleta mambo yenu!! Peleka kwa wakwe. Ukiona anaendelea, mtose, tafuta bwana mwingine!!

hahaaaa umenichekesha.....I know its MY PRIVATE BUSSINESS but wanchekesha sana
 
Hayatuhusu. Haya ni mambo yenu binafsi wewe na huyo mumeo. JF sio mahala pa kuleta mambo yenu!! Peleka kwa wakwe. Ukiona anaendelea, mtose, tafuta bwana mwingine!!

kama imekuboa usicoment ipotezee we vipi?
 
unaweza tueleza kidogo uliolewa olewa vipi?
Yani nini kilitokea mpaka ukajikuta ndani ya nyumba.?

nilikuwa na uhusiano nae kwa muda wa miaka miwili kabla ya kufunga ndoa mpaka alivyomaliza kusoma ndio tukaoana tuna mtoto mmoja ana miezi saba
 
Reyna, it doesn't matter where your husband gets his appetite as long as he eats at home! Achana na simu ya mumeo, ukimchunguza sana kuku hutamla, walisema wahenga.
 
hyo ndoa aliihitaji au wewe ndo ulimfosi akuoe?
 
Jaribu kuchukua namba ya kaka yako ila usiisevu hafu umueleze huyo kaka yako awe anakupigia usiku ukiwa na mzee kisha wewe jifanye hutaki kuongea kwa kuikata hiyo simu ya kaka yako ila isiwe namba hiyohiyo kila siku,chukua namba za kaka zako woote asipo kuuliza juu ya hizo namba basi inakubidi uchukue hatua za busara na sio ugomvi.
 
mi sikumfosi nikimwambia naenda nyumbani ananiahidi kunifanyia mambo mabaya kuna siku tuligombana nikaondoka ile nafika tu stendi nikakamatwa na police wakanipeleka kituoni nilikaa kama masaa mawili hivi akaniijia sasa mi simuelewi ameshanifanyia vituko vingi vinatia hasira sasa hii ni ndoa au nikutekwa?
 
ahsante ntajaribu
 
Reyna, it doesn't matter where your husband gets his appetite as long as he eats at home! Achana na simu ya mumeo, ukimchunguza sana kuku hutamla, walisema wahenga.

hata kama ni wewe lazima uumie kwa nini ukwepe kuujua ukweli kisa unaogopa kuumia
 
  • Thanks
Reactions: BAK
mi sikumfosi nikimwambia naenda nyumbani ananiahidi kunifanyia mambo mabaya kuna siku tuligombana nikaondoka ile nafika tu stendi nikakamatwa na police wakanipeleka kituoni nilikaa kama masaa mawili hivi akaniijia sasa mi simuelewi ameshanifanyia vituko vingi vinatia hasira sasa hii ni ndoa au nikutekwa?

no comment...
Jamani njooni mtoe ushauri hapa...
Heaven on earth mimi49 Mshinga Himidini Mamndenyi lara 1
and all
 
Last edited by a moderator:
Duuuu ndoa ni ndoano leo mtu wa 7 humu jamii tunamshauri swala la ndoa........mama kumbuka kiapo cha ndoa yako kutakuwa na shida na raha hizo .......sasa usishangae
 
Habari zenu: Tangu niolewe huu ni mwaka wa tatu lakini kuna kitu kinanitatiza huyu mwanaume mara nyingi huwa anapigiwa simu na namba mpya tofauti tofauti nikijaribu kuzipiga wanapokea wadada ukimuuliza anakwambia alikosea namba je hiyo namba yake huwa inakosewa na wadada tuu? Kingine wadada wa ofisini kwao kila siku usiku wanamtakia usiku mwema mara awaalike kwenye mitoko huwa tunaenda nae lakini nahisi huwa wananisanifu kwa nini awe na urafiki na wadada tuu?

Uhusiano wenu ulikuwaje?
Hamkuset rules kabla

Keti nae vunja ukimya
 
Back
Top Bottom