Nimechoka wizi wa TIGO

jisanja

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
1,077
2,000
Kwa kwel mtandao wa tigo umeniudhiiii kiasi cha kufikiria kuvunja vunja line yao...
Wamekua wapuuzi sana...kila nikiweka salio wanakata....nikiweka jero wanakata.....inabak kama 200 ivi muda ule ule nikiuliza salio mara mbili wanaikata mpaka na io mia mbili...nikiweka tena vocha wanakata....sijakopa wala sijajiunga na huduma zao za kulipia.wiki nzima hii kila nkiweka vocha wanakata.
Napiga customer care toka jiz hawapokei simu......nimewachoka!!
Pia hata internet yao ipo very slow........am so tired kwakwel kesho nakopy majina kwenye laini nyingine nawahama....nimechoka....nasema tigo nimechoka na wizi wenu
 

SIOMIMI

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
326
225
Tigo ni majanga tu hata mimi huwa nikiweka vocha line ya tigo hata kama sijajiunga wanapunguza salio, wakati nikiweka salio kwenye line ya voda au.airtel linaweza kukaa hata mwezi hawajapunguza hata senti, tigo wanakoelekea ni kubaya
 

Goodluck Mshana

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
1,268
2,000
Tigo ni wapuuzi sana mkuu... Sikuhizi siweki salio kwa wizi wao. Najiunga na kifurushi cha University kwa 1500 wiki nzima...
 

SIOMIMI

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
326
225
Ukichoshwa na ya tigo utapumzishwa na ya kuzima mobile data ili uongeze salio.

Mkuu tatizo sio kuzima mobile data, kwa upande wangu mimi line ya tigo ipo kwenye sim ambayo haina internet lakini wanakata salio na nlishawapigia wakanilekeza nitume maneno fulani kwenye namba moja walinipa nilituma lakini bado nikiweka salio wanapumguza tu
 

Mwalupale

JF-Expert Member
Apr 29, 2012
1,053
1,500
Tigo ni majangiri. Mtandao wao uko slow ile mbaya mwendo wa kobe ni mkali sana. Kiufupi vodacom na airtel ndio habari ya mjini.
 

jisanja

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
1,077
2,000
Unaweza ukawa unaweka vocha wakat data iko on

Hapana.....siku ya kwanza walivyokata nkaangalia data off....kabla cjaweka hua natoa data on then ndo naweka vocha....bt hii n too much maana wamekata kama 2000 bila reason ya msingi
 

Brodre

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,323
2,000
Hapana.....siku ya kwanza walivyokata nkaangalia data off....kabla cjaweka hua natoa data on then ndo naweka vocha....bt hii n too much maana wamekata kama 2000 bila reason ya msingi

Wapigie unaweza ukawa umeungwa caller tune na tigo bima bila kujijua
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom