Nimechoka, naenda kununua gari

Kwa hiyo pesa kwanza nunua Rims kali. Weka ndani,nunua muziki mzuri wa gari weka ndani,nunua car perfume weka ndani, nunua plate number weka ndani,nunua jeki na spana ya tairi weka ndani,nunua car carpet weka ndani. Car shampoo weka ndani. Nunua petrol lita kama 100 hivi weka ndani.Then angalia umebaki na tsh ngapi. Usifanye vitu kwa haraka.
 
Achana gari wewe huna pesa utajuta na kwambia gari ninmuhimu ila sio kwa pesa ya mkopo ndugu ohooo.
 
Kama huna cash ya kuhudumiq gari, usinunue. Ongeza kipato kwanza hadi 2 million ndo ununue

Iliwahi kunitokea kipindi fulani, tena kwangu ilikua pikipiki.

Vyombo vya moto ni sawa na mke wa pili, vinahitaji matunzo. Kama huna stable income vitakufilisi.

Niliuza pikipiki yangu asee
 
Japokuwa wanasema usifanye kitu kwa kuiga au kuhisi watu watakuonaje ila inafika point unaamua ufanye tu ili upate amani. Mimi ni kijana naishi Dar mshahara wangu ni kipato cha kati tu.

Sasa hapa ninapoishi vijana wenzangu wote wana magari kasoro mimi sasa naona kama najifeel inferior sana, niliwahi omba ushauri humu JF wengi walinishauri nisinunue gari kwa kufuata mkumbo ila sasa naona uzalendo umenifika hapa.

Nimepanga kununua gari nina akiba yangu ya 4M bank na ninaenda kukopa 3.5M naenda kununua ist. Kwa mliokwisha kuwa na magari ya mikopo staili hii ni changamoto gani ninaweza kukumbana nazo na je utakuwa uamuzi sahihi?
Gari linaongeza standards mkuu, utaonekana kidogo mtu wa maana mjini, ila kununua ist ya 7.5M ni kama una beti. Mwisho wa mwezi huu, Jan Japan wanazo gari za bei yako, usajili mpyaa wewe ndo utaitoa harufu yake ya Japan..
 
Hahaha utaishia kujisikia inferior kwa lingine tu.

Nimekuwa na uwezo wa kununua gari toka 2016 ila ni mwaka huu ndio nimeona ninunue. Kitu kilichokuwa kinanisukuma ni kupandikisha pesa zaidi katika biashara na kuepuka kuongeza gharama za maisha.

Sijui kipato chako ni bei gani ila kama ni chini ya 1 mil kwa mwezi bado si muda sahihi. Endeleza pesa yako katika biashara uwe na hata 20 mil savings na kipato cha 2 mil kwa mwezi utakuwa katika a more comfortable position.
Acha kumtisha watu wanamiliki gari kipato chini ya laki tano. Reference mi mwenyewe!!!!! Na sijawahi kujuta hata siku moja! Kiongozi vuta ndinga
 
Japokuwa wanasema usifanye kitu kwa kuiga au kuhisi watu watakuonaje ila inafika point unaamua ufanye tu ili upate amani. Mimi ni kijana naishi Dar mshahara wangu ni kipato cha kati tu.

Sasa hapa ninapoishi vijana wenzangu wote wana magari kasoro mimi sasa naona kama najifeel inferior sana, niliwahi omba ushauri humu JF wengi walinishauri nisinunue gari kwa kufuata mkumbo ila sasa naona uzalendo umenifika hapa.

Nimepanga kununua gari nina akiba yangu ya 4M bank na ninaenda kukopa 3.5M naenda kununua ist. Kwa mliokwisha kuwa na magari ya mikopo staili hii ni changamoto gani ninaweza kukumbana nazo na je utakuwa uamuzi sahihi?
Nunua gari mkuu na ukihitaji spare parts we nicheck nikuuzie kwa bei nzuri kabisa.
 
Gari linaongeza standards mkuu, utaonekana kidogo mtu wa maana mjini, ila kununua ist ya 7.5M ni kama una beti. Mwisho wa mwezi huu, Jan japan wanazo gari za bei yako, usajili mpyaa wewe ndo utaitoa harufu yake ya japan..

Inafika baada ya muda gani
 
Wengine watakwambia ukanunue kiwanja Kerege ujenge sababu ni asset.
Nunua ndinga hiyo leta heshima, binadamu hajawahi kukosa sehemu ya kulala, ila anakosa usafiri.
Kuna mwanetu mmoja humu JF alijenga kerege akawa anaumia wese la kutoka Kerege hadi Daslam...sijui alikuwaga na Brevis au Fuga sikumbuki vizuri. 🤣🤣🤣
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Mjini usipokuwa na gari unaonekana haupo serious na maisha...
Vuta hako kababy walker maisha ni haya haya.
 
Hakuna IST ya 7.5m nzima ndugu.. unaenda nunua matatzo... Utakua mteja wa fund kila siku..

Ni bora ukanunua gar ndogo ya brand nyingne kwa hela hyo lakin mpya..

Zipo swift, fun cargo.. vi nissan kibao..

Hyo gar ya mkonon utajuta
7.5m anapata gari gani mpya
 
Hahaha utaishia kujisikia inferior kwa lingine tu.

Nimekuwa na uwezo wa kununua gari toka 2016 ila ni mwaka huu ndio nimeona ninunue. Kitu kilichokuwa kinanisukuma ni kupandikisha pesa zaidi katika biashara na kuepuka kuongeza gharama za maisha.

Sijui kipato chako ni bei gani ila kama ni chini ya 1 mil kwa mwezi bado si muda sahihi. Endeleza pesa yako katika biashara uwe na hata 20 mil savings na kipato cha 2 mil kwa mwezi utakuwa katika a more comfortable position.
Umri unazidi kwenda
Halafu unakuta wenye kipato sawa na wewe wana vigari vyao wanakupa lifti kila siku, ukiwa na mgonjwa unawaomba misaada
 
Mkuu ongeza tena kwenye hiyo 4M Yako vuta pumzi tena add another 4M iwe 8M cash.

Then nenda bank vuta mkopo 8M cash jumla iwe 16M.

Agiza gari IST Yako ya mwaka 2007 au 2006 yenye 1490cc Kwa tsh. 14M tu mpaka mkononi mwako then kausha enjoy maisha yako.

2M ilyobaki itaku boost kwenye shughuli zako zingine au running cost ya gari ndani mwaka na zaidi kipindi ambacho unasuburi mkopo uishe urejee kwenye chati Yako ukiwa na ndinga Yako fresh from Japan.
 
Nunua gari, vuta ndinga, vuta chuma, ila usinunue subaru kama huwezi kuipa vitu OG inavyotaka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom