nimechoka na hii ndoa!

nimechoka na hii ndoa!

anayefadhili kikao ni wewe, sio? tukutane saa za majeruhi basi


ninafadhili mie waambie na wengine kuwa leo saa 12:15 jioni tutakuwa na kikao naomba utafute ukumbi na vinywaji.mie nitalipa, pia wifi yako Evelyn Salt asivae hizo nguo zake za kuendea disco avatar65641_5.jpeg maana tutakuwa na wazee Arabela aje na gauni lake lile la sikukuu.
 
Last edited by a moderator:
anayefadhili kikao ni wewe, sio? tukutane saa za majeruhi basi


ninafadhili mie waambie na wengine kuwa leo saa 12:15 jioni tutakuwa na kikao naomba utafute ukumbi na vinywaji.mie nitalipa, pia wifi yako Evelyn Salt asivae hizo nguo zake za kuendea discoView attachment 81242 maana tutakuwa na wazee Arabela aje na gauni lake lile la sikukuu.
 
Last edited by a moderator:
Bishanga ndoa za town ni shida, Vin Diesel alinituma shamba siku mbili kabla ya white party kwa makubaliano eti atanifuata siku ya tukio, matokeo yake kaopoa huko huko na kunirushia talaka kwa sms.
kama vipi njoo huku shamba tule mema ya nchi.

haya ndo matatizo ya kuoa wanawake wa mjini,ngoja niende zangu kilimatinde nikarudiane na Mamndenyi wangu,umaskini wangu kauzoea.
 
Last edited by a moderator:
Bishanga ndoa za town ni shida, Vin Diesel alinituma shamba siku mbili kabla ya white party kwa makubaliano eti atanifuata siku ya tukio, matokeo yake kaopoa huko huko na kunirushia talaka kwa sms.
kama vipi njoo huku shamba tule mema ya nchi.
we nae na Vin Diesel,kha!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom