The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,542
kumbe ulikuwa hunipendi?
inapendwa hela
kumbe ulikuwa hunipendi?
ole wako,jilegeze kwa mtu ndo utajua nini kilimnyima nyoka miguu kikampa ulimi.
kumbe tatizo ni umasikini!? Kumbe The secretary yupo sahihi!
bepari la kihaya upo??????? unahitaji kuwa shemeji yangu eeee?? vipi bado unafanya kazi ya kuhudumia wagonjwa alioshindwa na madaktari bingwa?
Amekuwa lambalamba
Shem muonee huruma kaka yangu,anaweza kujitoa roho!
hata wewe!
Arabela............................?Mi basi bana The secretary katafute bwana mwingine akuoe.Wivu gani huo mpaka unatoa povu utadhania umemeza omo.Mchango nilitoa,shati jeupe la linen mariedo nikanunua.Wakati najiandaa kutoka ukaanza oh Madame B bibi yako sitaki uende kebby's,mara ukanivuta na kunichania shati.Mi siwezi bana bora tuachane gfsonwin kunradhi pamoja na mwaliko nilishindwa kuja shauri ya haka kamwanamke,ukiweza niunganishe na Paloma,@lara1 amu au Arabela.