nimechoka na hii ndoa!

Bepari maskini? Usikute ni ule umaskini wa kitanzania, nna kanyumba ka tzs milioni 600, kashamba ka mitiki ka ekari 800 na ving'ombe vya maziwa vichache kama 3000 tu.
haya ndo matatizo ya kuoa wanawake wa mjini,ngoja niende zangu kilimatinde nikarudiane na Mamndenyi wangu,umaskini wangu kauzoea.
 
Last edited by a moderator:
haya ndo matatizo ya kuoa wanawake wa mjini,ngoja niende zangu kilimatinde nikarudiane na Mamndenyi wangu,umaskini wangu kauzoea.

uongo alinituma nikamkopee nikakataa.

hiyo si ni baada ya wewe kunichuna mpaka nikabaki skeletoni,nasikia umejenga nyumba kwenu.

]alokwambia nimechacha nani? [/B]unamsikiliza Filipo?

Najionea mwenyewe emefilisika wala sijaambiwa!!!!
 
utasema kila kitu,we nipende uone kama sijakupeleka shopping dubai,chezeiya wewe bepari la kihaya,mi nna hela!
bepari la kihaya upo??????? unahitaji kuwa shemeji yangu eeee?? vipi bado unafanya kazi ya kuhudumia wagonjwa alioshindwa na madaktari bingwa?
 
bepari la kihaya upo??????? unahitaji kuwa shemeji yangu eeee?? vipi bado unafanya kazi ya kuhudumia wagonjwa alioshindwa na madaktari bingwa?

my bro Slave hujambo?
 
Last edited by a moderator:
my bro Slave hujambo?
nipo nipo dada yangu kipenzi naona nakaribia kupata mahli ya shamba la bitoke sijui kama nitaweza kweli maana huku kwetu ng'ombe si ndo mpango mzima...? Arabela
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…