nimechoka na hii ndoa!

nimechoka na hii ndoa!

Bishanga mi sikutaki unabomu hadi buku kumi pia kwa nini utuweke kama mafungu ya nyanya?huna msimamo wewe
Shemeji, mwambie akuache upumue.
Me nitakupa Mke mzuri kama Malaika.
Nae ni Shosti wangu wa Ukwee Arabela.
Mtoto nywele mpaka mgongoni.
Mtoto Kama Muhindi,mtoto kila idara kakamilika.

Ila ukitaka mwenye dimpozi na aliekamili kila idara lara 1 atakufaa.

POWER TO U SHEM!!!
CC: Baba V, ana taarifa?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom