CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
eti ni kweli ulichana SHATI LA KITENGE la Abashaija???
nikweli mpz! Amechoka kabisa!!!
hizi habari zikoje!? Embu funguka!
Ati nini!? subiri aje The secretary hapa aridhie, akisema no, ni no. afu nina wasiwasi isijekuwa ulikosa pesa ya kumleta mtoto White Party afu unakuja kuua soo hapa.
Shemeji yangu hajafulia.
Sema muda huu yuko busy.
We!
Nani M-mama?
Bikra zote ninazo afu unanita mmama.
Unitue.
Nakala kwa : zubedayo_mchuzi!!!!
Vipi tena?
utasema kila kitu,we nipende uone kama sijakupeleka shopping dubai,chezeiya wewe bepari la kihaya,mi nna hela!
mh shosti hata wewe
Mtaka vyote kwa pupa hukosa yote!!!