Nimechoka kuwa alone

Mamndenyi

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
44,623
Reaction score
64,488
Utani wekeni kando

Huu ni mwaka wa kumi na tatu;

Nalala alone , nimechoka;

Nahitaji mwanaume wa kuwa naye.

Umri miaka 49 na kuendelea.

........................ Mume wa mtu HAPANA

................................Awe walau na gari moja
....................
 
We mamndenyi, una umri gani. Maana usijeletea watu kesi ya kuoa under 18. Kulala mwenyewe si hoja. Hata watoto wanalala wenyewe.Kupima afya ni muhimu.
 
Haaaa
Unajua muda ndo unaosema
............. kukagua ni muhimu sana my baby.
Asante kwa maushauri yako.

nilikuambia nikupe mdingi wangu ukakataa!
ila utapata mama yangu.ila itabidi nimkague kwanza asije kukutesa bure.sitakubali .i love u with all my heart!
 
Utani wekeni kando

Huu ni mwaka wa kumi na tatu;

Nalala alone , nimechoka;

Nahitaji mwanaume wa kuwa naye.

Umri miaka 49 na kuendelea.
Miaka 13??? Haijaziba?

Kila la kheri mwaego. Ukimkosa usijali, babu niko tayari kukufanya nyumba ndogo. Na hii miaka yangu sitini na ushee, najihisi bado nina nguvu.

Haya weka picha yako tafazali.
 
mhm! bestito utampata aliye wako ila nakushauri
humu watakuchokoza bure jaribu kumwomba Mungu atamleta hapo ulipo
 
Miaka 13??? Haijaziba?

Kila la kheri mwaego. Ukimkosa usijali, babu niko tayari kukufanya nyumba ndogo. Na hii miaka yangu sitini na ushee, najihisi bado nina nguvu.

Haya weka picha yako tafazali.

Mechi za Mchangani ruksa kwa hiyo kuziba haiwezi tokea hata kwa matunguli...hahahahahaha sasa ameamua kuhalalisha kuliko machimbo ..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…