Ilisolokobwe
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,865
- 833
simu zooote mediatek ovyo tu. hii infinix note3 ram yake ni 3gb sawa na note4 galaxy ninayotumia mimi lakini tofauti kubwa sana. snapdragon hatari weeeHivi tatizo ni mediatek au tatizo ni ukubwa wa ram na processor kuwa ndogo kwenye hizi simu cheap?
Infinix na Tecno ni kampuni moja, km vile ITV na EATV.Zinatofautiana kdg xn.Tafuta laki 5 tu ujipatie Infinix zero 4, ufurahie ulimwengu maridhawa.. Iko pw sana.. Nishasahau Techno
They are not the same...kuanzia chipset hadi hardware. ..wewe jidanganye tu..na kama una hoja unaweza teteaMi natumia tecno cx. Tusidanganyike na hizi band ukiondoa iPhone na kulia. Android iwe Samsung au tecno they are almost the same. Hii yangu imetulia sana. Walinichapa Samsung j5 na sasa niko na hii cx
Mi natumia tecno cx. Tusidanganyike na hizi band ukiondoa iPhone na kulia. Android iwe Samsung au tecno they are almost the same. Hii yangu imetulia sana. Walinichapa Samsung j5 na sasa niko na hii cx
Note 4 Kwa 500k? Mpya au used?Tafuta laki 5 kamili nikuuzie Samsung Note 4 yeny 32Gb na 3 Rum
hiyo na tekno kampuni moja tofauti ni majina tuTafuta laki 5 tu ujipatie Infinix zero 4, ufurahie ulimwengu maridhawa.. Iko pw sana.. Nishasahau Techno
AiseeAshajitambuliasha kua ni mshamba
Saaasa naww unamtajia 32gb
Anaeza kufkiria 32gb ni dawa za kienyeji za uti wa mgongo
Ifinix na Tecno ni ileile.!Tafuta laki 5 tu ujipatie Infinix zero 4, ufurahie ulimwengu maridhawa.. Iko pw sana.. Nishasahau Techno
Rum?? au RAMTafuta laki 5 kamili nikuuzie Samsung Note 4 yeny 32Gb na 3 Rum