MfalmewaKiha
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 1,191
- 1,247
NI kweli kaka, tatizo sio sim, tatizo ni kupata Aina nzuriMsaada wa nini?si uende maduka ya simu ukachague brand nyingine au na wewe wataka kufungua account Gofund ili tukuchangie?
Shilingi Lack 3350 lack ndo nn
nichek inboxHabari za asubuhi, Naombeni msaada, mimi ni Mshamba kiasi flan, tangu nitumie sim /nibadilishe sim nimekuwa nikitumia Aina za Tecno, nikianza na P5,nikaja kwa Tecno Phantom min, J7 sasa leo nahitaji kununua sim Aina nyingine, sihitaji Tecno, nina 350 Lack, niko Arusha. Msaada tafadhari.
Itetee kwa hoja ili utushawishi na sisiChukua huawei y6 II hutajutia hela yako
NI kweli kaka, tatizo sio sim, tatizo ni kupata Aina nzuri
Nenda duka la simu muuzaji atakushauri.NI kweli kaka, tatizo sio sim, tatizo ni kupata Aina nzuri
Tafuta laki 5 kamili nikuuzie Samsung Note 4 yeny 32Gb na 3 Rum
ungekuwa Dar kesho ningekupeleka Dukani, ila Arusha!!Habari za asubuhi,
Naombeni msaada,
Mimi ni Mshamba kiasi flani, tangu nitumie simu /nibadilishe simu nimekuwa nikitumia aina za Tecno, nikianza na P5, nikaja kwa Tecno Phantom min, J7 sasa leo nahitaji kununua sim aina nyingine, sihitaji Tecno, nina laki 350, niko Arusha.
Msaada tafadhali.
Infinix haina tofauti yoyote na tecnoTafuta laki 5 tu ujipatie Infinix zero 4, ufurahie ulimwengu maridhawa.. Iko pw sana.. Nishasahau Techno
Mkuu nunua samsung Grand Prime. ni simu bomba kabisa hautojutia. bei yake ni 290,000 au 270 kama sikosei.. hutojutia mkuuHabari za asubuhi,
Naombeni msaada,
Mimi ni Mshamba kiasi flani, tangu nitumie simu /nibadilishe simu nimekuwa nikitumia aina za Tecno, nikianza na P5, nikaja kwa Tecno Phantom min, J7 sasa leo nahitaji kununua sim aina nyingine, sihitaji Tecno, nina laki 350, niko Arusha.
Msaada tafadhali.
Usisahau kumkumbusha atakaa nayo muda gani kabla kugeuka mlipuko,kesi sitaki mie.Tafuta laki 5 kamili nikuuzie Samsung Note 4 yeny 32Gb na 3 Rum
Zinapatikana wapi kwa dar??Tafuta laki 5 tu ujipatie Infinix zero 4, ufurahie ulimwengu maridhawa.. Iko pw sana.. Nishasahau Techno
infinix zero 4 hapa sirari upande wa kenya inauzwa laki4 tu lakini kama alivyosema mdau hapo juu infinix haina tofauti yoyote na tecno maana ninayo hapa infinix note3 ya bi mkubwa ni janga tu, mediatek sio simu kabisaaaTafuta laki 5 tu ujipatie Infinix zero 4, ufurahie ulimwengu maridhawa.. Iko pw sana.. Nishasahau Techno
Hivi tatizo ni mediatek au tatizo ni ukubwa wa ram na processor kuwa ndogo kwenye hizi simu cheap?infinix zero 4 hapa sirari upande wa kenya inauzwa laki4 tu lakini kama alivyosema mdau hapo juu infinix haina tofauti yoyote na tecno maana ninayo hapa infinix note3 ya bi mkubwa ni janga tu, mediatek sio simu kabisaaa
Ingia jumia uagize utaletewaHabari za asubuhi,