Rogojin The Idiot
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 3,520
- 4,203
Nimechoka Kuota Napaa Usiku...
Ni mwaka Sasa mara kwa mara nimekuwa naota Napaa angani au kucheza mchezo WA kupaa milimani au angani na kutua vizuri tu bila matatizo yoyote uku nikifurahi
Kuna muda naota Kuna tatizo linatokea na tukiwa sehemu watu wengi na mi pekee nafanikiwa ku escape kwa kupaa uku nikiwaacha wengine wakishindwa kuescape,siku nyingine naota Napaa angani uku nikiwa na furaha sana
Hiyo Ndoto inamaanisha nini kwa wajuzi wa mambo ya Ndoto?
😀😀😀 Vipi jamaa alikupelekea MOTO au aliubakiza kwanzaWee mzee hunipi nafasi khaaaaaaa!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aache kula mlo mzito usiku
Ni Kweli,Wewe una fikra pana sana mkuu sio kila ndoto ni MUNGU anakuotesha
[emoji3][emoji3][emoji3] Vipi jamaa alikupelekea MOTO au aliubakiza kwanza
Nini sasa kwani nimesema UONGO jamaa tunataka member mpya wa JF au tukubebe mabango 😀🥴Mxxiewwww [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nini sasa kwani nimesema UONGO jamaa tunataka member mpya wa JF au tukubebe mabango [emoji3][emoji3061]
may be your a chosen oneMmmh!!? Bas mm huwa nikipaa siwezi kanyaga chini had nishike sehemu nilazimishe miguu kutua chini. Na kanisan naweza enda x2 kwa mwaka ila ndoto za kuota Nina ubiri mara naombea watu huwa zinakuja mara kwa mara
Wewe ni mwana mpotevu, acha kula makombo ya nguruwe,Mmmh!!? Bas mm huwa nikipaa siwezi kanyaga chini had nishike sehemu nilazimishe miguu kutua chini. Na kanisan naweza enda x2 kwa mwaka ila ndoto za kuota Nina ubiri mara naombea watu huwa zinakuja mara kwa mara
I always have similar dreams, nyngne ni kuota nipo shule, sometimes nipo na students niliowahi soma não ktk mazngr tofauti tofautiNimechoka Kuota Napaa Usiku...
Ni mwaka Sasa mara kwa mara nimekuwa naota Napaa angani au kucheza mchezo WA kupaa milimani au angani na kutua vizuri tu bila matatizo yoyote uku nikifurahi
Kuna muda naota Kuna tatizo linatokea na tukiwa sehemu watu wengi na mi pekee nafanikiwa ku escape kwa kupaa uku nikiwaacha wengine wakishindwa kuescape,siku nyingine naota Napaa angani uku nikiwa na furaha sana
Hiyo Ndoto inamaanisha nini kwa wajuzi wa mambo ya Ndoto?
Duh mbn upo km mm aisee, mbn inatisha hii hali au ndio ndoto za vijana [emoji23]nyingine inayonitesa ni kuota nipo darasani , haswa msingi , o level na advanced. Chuo mara chache . Huwa zinanipa huzuni sana hizi ndoto
ANKO WANGA WANACHEZA NA WEWE MBAYAA, KATUBU AU UOMBE MSAMAHAA ALIEKUKOSEA, KAMA ULIIBA RUDISHA!Nimechoka Kuota Napaa Usiku...
Ni mwaka Sasa mara kwa mara nimekuwa naota Napaa angani au kucheza mchezo WA kupaa milimani au angani na kutua vizuri tu bila matatizo yoyote uku nikifurahi
Kuna muda naota Kuna tatizo linatokea na tukiwa sehemu watu wengi na mi pekee nafanikiwa ku escape kwa kupaa uku nikiwaacha wengine wakishindwa kuescape,siku nyingine naota Napaa angani uku nikiwa na furaha sana
Hiyo Ndoto inamaanisha nini kwa wajuzi wa mambo ya Ndoto?
Oyá ishu yko ya kuwa introvert tunafanana, IQ tunafanana, kuwa creative, kupenda mbususu tunafanana, mixer na hyo ndoto ya kupaa pia ipo the same, aisee kuna jambo sio kawaida hii embu tujitathminiB
Boss upo vizuri Kuna vitu umevitaja nimevi experience kwenye maisha yangu mi ni introvert na creative sana na nilikuwa na uwezo sana darasani aswa primary na Olevel kwa kifupi IQ yangu iko vizuri tatizo limeanzia nilipoanza kula Malaya na kunywa pombe Hadi kupitiliza Kuna muda napoteza kumbukumbu,pia ninapitia kipindi kigumu nimeapply sana kazi tangu graduation 2021 mpaka Sasa ila siitwi interview na saa ingine naitwa muda ukiwa umeenda,ila iyo Ndoto imekuwa ikijirudia
Kama vijana mnaacha mashamba ya wazazi vijijini, mnakimbilia BETTING lazima uote uko darasani.Duh mbn upo km mm aisee, mbn inatisha hii hali au ndio ndoto za vijana [emoji23]
Maneno ya Dr.Ndodi hayaAache kula km kesho hali tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Binafsi hii ndo ndoto pekee hua naikubali pindi niotapo, wanyama wakali hua nawaacha kwenye ma taa hata wengine kuwaadhibu nitakavyoNimechoka Kuota Napaa Usiku...
Ni mwaka Sasa mara kwa mara nimekuwa naota Napaa angani au kucheza mchezo WA kupaa milimani au angani na kutua vizuri tu bila matatizo yoyote uku nikifurahi
Kuna muda naota Kuna tatizo linatokea na tukiwa sehemu watu wengi na mi pekee nafanikiwa ku escape kwa kupaa uku nikiwaacha wengine wakishindwa kuescape,siku nyingine naota Napaa angani uku nikiwa na furaha sana
Hiyo Ndoto inamaanisha nini kwa wajuzi wa mambo ya Ndoto?
Mimi simuamini huyo jamaa mnayemuita Yesu ila tokea nijitambue utotoni, Kila napoota lazima nipaeNdoto kama hiyo mwenzio ujue hapo kampokea Yesu,
Kupaa huko ni Mungu anamuonesha jinsi gani ambavyo Neno la Mungu (Kumjua Mungu) limemsaidia kukwepa vikwazo na matatizo katika maisha.
Kuzindikwa ndo uchawi wenyewe, pipa na mfuniko.HONGERA SANA MKUU... UNA KINGA KUBWA SANA MWILINI MWAKO....
MAANA YAKE HAPO KILA WACHAWI/MAJINAMIZI WAKIJA WANAKUTA HAUPO
🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝🤝
NDOTO ZA WACHACHE HIZO HASA WALE WALIO ZINDIKWA.