Mkuu hiyo ni ndoto yenye dalili nzuri sana kwa maisha yako, inaashiria ukiweza kutumia vizuri fursa na uwezo wako uliopewa utafika mbali na kuwa juu ya wengi. Utavuka viunzi vingi maishani wa urahisi kuliko wengine, ila yahitaji ujitume na uwe na nidhamu binafsi.Nimechoka Kuota Napaa Usiku...
Ni mwaka Sasa mara kwa mara nimekuwa naota Napaa angani au kucheza mchezo WA kupaa milimani au angani na kutua vizuri tu bila matatizo yoyote uku nikifurahi
Kuna muda naota Kuna tatizo linatokea na tukiwa sehemu watu wengi na mi pekee nafanikiwa ku escape kwa kupaa uku nikiwaacha wengine wakishindwa kuescape,siku nyingine naota Napaa angani uku nikiwa na furaha sana
Iyo Ndoto inamaanisha Nini kwa wajuzi WA mambo ya Ndoto?
Mkuu bado upo gizani Mara ya MWISHO kula Malaya ilikua lini?tatizo limeanzia nilipoanza kula Malaya na kunywa pombe Hadi kupitiliza Kuna muda napoteza kumbukumbu,pia ninapitia kipindi kigumu nimeapply sana kazi tangu graduation 2021 mpaka Sasa ila siitwi interview na saa ingine naitwa muda ukiwa umeenda,ila iyo Ndoto imekuwa ikijirudia
Hapana ukilala kifudi fudi ukaachia miguu na mikono mwili unakuwa free kupitiliza(hapa kuna wanaoshikwa na jinamizi).Hiyo ndio Hand brake ya kupaa?
Acha UONGO hio ndoto haimaanishi hivyoKiimani ni kuwa ukionanunaota unapaa ujue kuna watu wanakuguatilia kukukamata ila malaika wako wanakupeperusha usikamatwe
Kuna kitu kinaitwa ndoto, ufunuo na MaonoNimechoka Kuota Napaa Usiku...
Ni mwaka Sasa mara kwa mara nimekuwa naota Napaa angani au kucheza mchezo WA kupaa milimani au angani na kutua vizuri tu bila matatizo yoyote uku nikifurahi
Kuna muda naota Kuna tatizo linatokea na tukiwa sehemu watu wengi na mi pekee nafanikiwa ku escape kwa kupaa uku nikiwaacha wengine wakishindwa kuescape,siku nyingine naota Napaa angani uku nikiwa na furaha sana
Hiyo Ndoto inamaanisha nini kwa wajuzi wa mambo ya Ndoto?
Wewe una fikra pana sana mkuu sio kila ndoto ni MUNGU anakuoteshaKuna kitu kinaitwa ndoto, ufunuo na Maono
Mungu huwa unazungumza na wanadamu kupitia Ndoto
Maono na Ufunuo ni kwa wale wanadamu wapo wanaomwabudu Mungu kwa roho na kweli.
Ndoto unaoyoota Mungu anakufikiashia ujumbe hali yako ya kiroho Siyo Nzuri ipo chini inawezekana ikawa wewe ni mchawi kipofu wewe mwenye haujuwi. Mchawi kipofu ni Mtu anayetumiwa na kazi za kichwi bila yeye mwenye kujua. Watu hawa ni wengi sana.
Kuna Mtu mmoja alikuwa anaota Ndoto anaendesha Gari, huyu Mtu akawaa anaamini ipo Siku atapewa gari kuendesha lakini Mungu alikuwa anamfikishia ujumbe kwa yeye ni Dereva wa wachawi usiku.
Sawa mi mwongoAcha UONGO hio ndoto haimaanishi hivyo
Basi sawa,, vizuri kama ndo hivyo 🤗Ndoto kama hiyo mwenzio ujue hapo kampokea Yesu,
Kupaa huko ni Mungu anamuonesha jinsi gani ambavyo Neno la Mungu (Kumjua Mungu) limemsaidia kukwepa vikwazo na matatizo katika maisha.
Alichoelezea sio hicho hichi ulichoweka ukitoka ndani ya Mwili unaona yaan unaweza ukakaa tu ukatoka bila kuota namaanisha sio ndoto
Hili pia ni Jibu piaNi uwezo wako wa kuyashinda majaribu/magumu katika maisha yako ya kila siku,ndio maana unakuwa na furaha.
Aache kula nini?Aache kula km kesho hali tena 🤣🤣🤣🤣
Aache kula nini?