RoadLofa
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 1,856
- 4,085
Nimechoka Kuota Napaa Usiku...
Ni mwaka Sasa mara kwa mara nimekuwa naota Napaa angani au kucheza mchezo WA kupaa milimani au angani na kutua vizuri tu bila matatizo yoyote uku nikifurahi
Kuna muda naota Kuna tatizo linatokea na tukiwa sehemu watu wengi na mi pekee nafanikiwa ku escape kwa kupaa uku nikiwaacha wengine wakishindwa kuescape,siku nyingine naota Napaa angani uku nikiwa na furaha sana
Hiyo Ndoto inamaanisha nini kwa wajuzi wa mambo ya Ndoto?