Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,364
Jaman nimechoka kunyongwa usiku wa manane nikiwa nimelala mbali na hayo nyumba niyokuwa mwanzo nilihama nikidhan ni mikos ya hiyo nyumba, kumbe hata nilikohamia ndo hivyo hivyo nimeshauliza watu mbalimbali na walinipa majibu tofauti tofauti lakini mwishowe nikaambiwa njia pekee ni sala.nikawa nasali asubuh na jion kabla ya kulala lakin mambo yakawa ni yaleyale sasa sina hata hamu ya kuish kwa sababu naona sina msaada tafadhali nipen mawazo yoyote nitayafanyia kazi ili nami niweze kufurahia maisha kama wengine.NAWASILISHA!
mbona hueleweki? Umechoshwa kunyonywa kivipi? Unamtoto mchanga anaependa kunyonya usiku au ndo nini maana sikuelewi bado