Nimechoka kunyongwa usiku wa manane, tafadhali msaada wa haraka

Nakushurukuruni nyote kwa ushauri wenu wa namna tofaut tofaut na yote ni mawazo mazur kwani yanalenga kutatua tatizo linalonikabili
 
a. Inawezekana ni ndoto mbaya tu, na shughuli nyingi b. Soma Quran kabla ya kulala hakikisha unaoga kabla ya kusoma.. c. Mtafute sheikh akusomea dua, huenda Allah akakusaidia d. Hakikisha hujadhulumu mali za watu..[/QU mimi ni mkiristo wa Rc sijawah kunyonga mtu wala kwetu hamna historia hiyo wala sijawah kutembea+na mke wa m2 ama kudhulum cha m2 wala sidaiwi hata sijaoa kama ningekua na mke ningesema labda huyu mke ndo kaja na mikos yake
 
Tafuta mfupa wa kitimoto uuweke chini ya mto unaolalia...mauzauza yote yatakwisha!

Mkuu achana kabisa na ushauri wa kishirikina kama huu. Hivi ndivyo vitu vitakavyokuingiza katika jela ya matatizo kama haya milele!
 
Masuala kama hayo, usipoteze muda wako katika kutembelea makanisa au misikiti. Utateseka mpaka utachoka. Kuna vitu Mungu aliviumba na akavipa uwezo wa kufukuza matatizo kama hayo. Vitunguu swaumu ukichoma au ukilala navyo ni dawa pia, mfupa wa nguruwe ni dawa tena kali saaaana.
 
Masuala kama hayo, usipoteze muda wako katika kutembelea makanisa au misikiti. Utateseka mpaka utachoka. Kuna vitu Mungu aliviumba na akavipa uwezo wa kufukuza matatizo kama hayo. Vitunguu swaumu ukichoma au ukilala navyo ni dawa pia, mfupa wa nguruwe ni dawa tena kali saaaana.[/QU nimekupata wa jina
 
Jaman nimechoka kunyongwa usiku wa manane nikiwa nimelala mbali na hayo nyumba niyokuwa mwanzo nilihama nikidhan ni mikos ya hiyo nyumba, kumbe hata nilikohamia ndo hivyo hivyo nimeshauliza watu mbalimbali na walinipa majibu tofauti tofauti lakini mwishowe nikaambiwa njia pekee ni sala.nikawa nasali asubuh na jion kabla ya kulala lakin mambo yakawa ni yaleyale sasa sina hata hamu ya kuish kwa sababu naona sina msaada tafadhali nipen mawazo yoyote nitayafanyia kazi ili nami niweze kufurahia maisha kama wengine.NAWASILISHA!

Ndugu yangu samahani kwa kuchangia mda ukiwa umepita,pia pole kwa unachopitia kwa sasa. Maombi ni muhimu sana kama unataka ushindi dhidi ya adui yeyote,lakini pia maombi yasiyokuwa na imani nikama kelele mbele za Mungu,pia kama kuna dhambi ndani yako hakika maombi yako hayatajibiwa,tubu dhambi kwa kumaanisha kuziacha,thats Salvation,then, you'll receive total deliverance!
 
Hayo ndugu yanatokea katika ulimwengu wa roho. Kusali kwako ni bure kama hujatengeneza na Bwana Yesu. Tubu dhambi zako zote ndipo Mungu atasikiliza sala zako. Mungu hasikilizi sala za mwenye dhambi. Tengeneza kwanza ndipo uvunje hizo nguvu za giza zinzokuandama. Tumepewa mamlaka ya kuvunja, kubomoa na kuharibu ila kwa masharti. Sio kila mtu ana huo uwezo. Ni wale tu waliofanyika kuwa wana. Kwa hiyo kwanza mpokee Yesu Kristo kuwa Bwana na mwokozi wako. Mwombe akurehemu na vifungo hivyo. Utashangaa hayo ni cha mtoto kwa Yesu. Kuhama hakusaidii ndugu utamaliza nyumba zote. Mjaribu Yesu you wont regret.
Jaman nimechoka kunyongwa usiku wa manane nikiwa nimelala mbali na hayo nyumba niyokuwa mwanzo nilihama nikidhan ni mikos ya hiyo nyumba, kumbe hata nilikohamia ndo hivyo hivyo nimeshauliza watu mbalimbali na walinipa majibu tofauti tofauti lakini mwishowe nikaambiwa njia pekee ni sala.nikawa nasali asubuh na jion kabla ya kulala lakin mambo yakawa ni yaleyale sasa sina hata hamu ya kuish kwa sababu naona sina msaada tafadhali nipen mawazo yoyote nitayafanyia kazi ili nami niweze kufurahia maisha kama wengine.NAWASILISHA!
 
Eh!! Wewe unaamini nini? Mungu aliumba mapepo???? Shetani hakuumbwa kama shetani ukaidi wake na dhambi zake ndio zilizomsababisha kuwa shetani baada ya kutupwa chini kutoka mbinguni. Yeye na malaika zake (mapepo) wamelaaniwa na ndio maana wanaandama watu kuwapoteza. Kitunguu saumu hakisaidii kitu.
Masuala kama hayo, usipoteze muda wako katika kutembelea makanisa au misikiti. Utateseka mpaka utachoka. Kuna vitu Mungu aliviumba na akavipa uwezo wa kufukuza matatizo kama hayo. Vitunguu swaumu ukichoma au ukilala navyo ni dawa pia, mfupa wa nguruwe ni dawa tena kali saaaana.[/QU nimekupata wa jina
 
aisee ninafarijika sana kuona bado wanajamvi wanaendelea kutoa ushaur mzuri na wenye manufaa si kwangu tu pamoja na wengne wanaopitia kwenye tabu kama hiz
 
Jaman nimechoka kunyongwa usiku wa manane nikiwa nimelala mbali na hayo nyumba niyokuwa mwanzo nilihama nikidhan ni mikos ya hiyo nyumba, kumbe hata nilikohamia ndo hivyo hivyo nimeshauliza watu mbalimbali na walinipa majibu tofauti tofauti lakini mwishowe nikaambiwa njia pekee ni sala.nikawa nasali asubuh na jion kabla ya kulala lakin mambo yakawa ni yaleyale sasa sina hata hamu ya kuish kwa sababu naona sina msaada tafadhali nipen mawazo yoyote nitayafanyia kazi ili nami niweze kufurahia maisha kama wengine.NAWASILISHA!

Kaka Apolonary, Pole sana. Ninakupa ushauri wa bure kabisa ambao hauna kubabaisha. Hilo ni tatizo dogo sana kama utafuata ushauri huu. Nenda haraka pale Magomeni mapipa katika Kanisa Katoliki. Fika pale mapema ili upate namba ya kumuona Padre Magabe. Padre huyu ni wa jimbo la Musoma lakini amekuja hapa kwa muda mfupi tu wa kusaidia watu wenye matatizo kama lako na hata zaidi ya lako. Ni Padre mwenye kipaji kikubwa sana kwenye kuondoa matatizo kama hayo kwa JINA LA YESU. Anaanza huduma saa tano asubuhi na ataondoka kurudi Musoma Ijumaa. Fanya haraka ya kumpata kabla hajaondoka. Nina imani tatizo lako litaisha kabisa na usishangae akakueleza pia kiini au mhusika wa tatizo hilo. Semina ya kufungua watu wenye matatizo kama hayo imeisha jana hapo hapo magomeni, lakini yeye ataendelea kuwepo mpaka hiyo Ijumaa. Mungu akutangulie. Ukiamua kutuletea mrejesho kama umefanikiwa itakuwa vizuri sana.
 
Masuala kama hayo, usipoteze muda wako katika kutembelea makanisa au misikiti. Utateseka mpaka utachoka. Kuna vitu Mungu aliviumba na akavipa uwezo wa kufukuza matatizo kama hayo. Vitunguu swaumu ukichoma au ukilala navyo ni dawa pia, mfupa wa nguruwe ni dawa tena kali saaaana.
Vitunguu saumu, mifupa ya nguruwe na mazagazaga gani sijui, vifukuze mapepo au majini???? Neno la Mungu linasema watu wangu wanaangmia kwa kukosa maarifa, wewe umepewa akili na utashi, yaani dhamiri, ni juu yako kuamua kusuka au kunyoa!!!!! Mwendee Yesu Bwana wa uzima ukombolewe na minyororo ya shetani, vyote hivyo ni vifungo, mkombozi pekee ni Bwana Yesu!!!! Misikitini majini ni rafiki wa waumini wa uko sisi tunajua kuwa majini ni mashetani sehemu yao ni ziwa la moto na mkubwa wao Lucifer!!!! Mtu mzima wa afya haitaji daktari, njoo kwa Yesu usijidanganye, upate uzima.Ubarikiwe!!!!!

Kaka Apolonary, Pole sana. Ninakupa ushauri wa bure kabisa ambao hauna kubabaisha. Hilo ni tatizo dogo sana kama utafuata ushauri huu. Nenda haraka pale Magomeni mapipa katika Kanisa Katoliki. Fika pale mapema ili upate namba ya kumuona Padre Magabe. Padre huyu ni wa jimbo la Musoma lakini amekuja hapa kwa muda mfupi tu wa kusaidia watu wenye matatizo kama lako na hata zaidi ya lako. Ni Padre mwenye kipaji kikubwa sana kwenye kuondoa matatizo kama hayo kwa JINA LA YESU. Anaanza huduma saa tano asubuhi na ataondoka kurudi Musoma Ijumaa. Fanya haraka ya kumpata kabla hajaondoka. Nina imani tatizo lako litaisha kabisa na usishangae akakueleza pia kiini au mhusika wa tatizo hilo. Semina ya kufungua watu wenye matatizo kama hayo imeisha jana hapo hapo magomeni, lakini yeye ataendelea kuwepo mpaka hiyo Ijumaa. Mungu akutangulie. Ukiamua kutuletea mrejesho kama umefanikiwa itakuwa vizuri sana.
Ndugu yangu sikiliza kwa makini usiende eti upate chanzo cha tatizo lako acha kupiga Ramli, kuagalia nyota kupiga ramli, faraki wote hao ni adui wa Mungu Baba!!! Watumishi wa Mungu aliye hai wapo wengi tuu hapo Dar, nenda makanisa ya kiroho uombewe upate uponyaji!!!! Usidharau makanisa ya Mungu aliye hai ya kiroho, nguvu ya Mungu kwa uwezo wa Bwana Yesu ipo tuu!!!! Majini na mapepo hayasimami kwa Yesu hiyo ni cha mtoto yapo mambo makubwa utajifunza utujua mengi na kuyafanyia kazi!!! Unapote za muda kutookoka ndugu yangu ili uufaidi uzuri wa Yesu, ubarikiwe!!!!

Back
Top Bottom